Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Nimekutana na clip hii ya mtangazaji wa kipindi cha asubuhi wa Mjini FM, Barbara Hassan akiwa anazungumzia kuhusu mtoto wake.
Anasema alikuwa na dada wa kazi ambaye alikuwa anamsaidia katika malezi ya mtoto. Kumbe huyo dada alikuwa na tabia ya kumnyanyasa na kumtesa mtoto wake kwa kumpiga na kumdhalilisha.
Sasa kumbe majirani walikuwa wanaona na walikuwa hawasemi na mtoto nae kwa sababu alikuwa mdogo alikuwa anashindwa ku-communicate vizuri.
Yule dada wa kazi alivyoondoka ndipo majirani wakaenda kumtonya, bwana mwanao alikuwa anateswa na kunyanyaswa na huyo dada wa kazi. Barabara anasema aliwamaindi vibaya sana on why hawakumwambia muda wote
Sasa nimejiuliza, kwanini baadhi ya wadada wa kazi wana tabia ya kunyanyasa watoto? Na kwanini jamii inakuwa kimya inapoona mtoto ananyanyaswa hasa na mtu baki?