Hii style nimeiona kwa wengi mjini

Atakuja kukumbuka shuka pamekucha, unless awe na mshahara wa level za UN!

Ila kama ni lile kundi la 2.2M kwa mwezi namtakia kila la heri, tukutane 45 yrs hapo akiwa na watoto wawili na mke mpenda starehe!

Japo sio maisha yangu ila nimemuonea huruma
Hawa madogo wanakamata hela mapema wakiwa na akili za kitoto sana duh
 
Anasema kwa miaka ile hata huko Tabata huko sijui Chang'ombe, kisukulu kulikuwa bado na mashamba ya mihogo yaani angeweza kununua kiwanja kikubwa tu ila akaona mjini ni Sinza! Imekula kwake!

Bado nakua, bado najifunza!
Kwa sababu bado unaendelea kujifunza, nashukuru sana unaanza kukua huku ukifanya maamuzi.

Umekuwa na umeshajifunza.




NOTE: Vaa barakoa na unawe mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
 
Mtaani kwangu almost wazee wote watumishi walijenga kwa style hii ..kajumba kadogo kwanza then ananyanyua kubwa taratibu miaka 10+ anavunja kijumba kidogo maisha yanaendelea na wengi wana viwanja zaidi ya kimoja ..."muhimu" walishtuka mapema under 35years so wakati watoto wanaanza kuwa teenagers nyumba kubwa inakua imekamilika kiwastani wanaingia.
 
Nakosa logic kwanini ninunue kiwanja kwa mill 20 nibaki na akiba mil 5 kisha tena nikope mil 20 nijenge banda la uwani,kwamba nilikuwa na cash mil 25 kwanini basi nisingenunua kiwanja kwa 8million (nadhani popote Tanzania hivi viwanja vinapatikana) nikabaki na 17 nikafanya ujenzi wa nyumba kubwa nzima kwa hela hiyo nikainua boma na kupauwa kisha kidogo kidogo kwa ile riba nilikuwa niipeleke bank nikafanya finishing nikiwa humo humo?

Au labda mleta mada sijamuelewa maana maisha ni ya ajabu sana,unaweza kuingia kwenye madeni ya riba za bank ukiwa bado kwenye chumba na sebule yako na ukazeekea humo humo ukiwa hujafanya chochote.
 
Hehe hehe unacheza na moto wewe[emoji23][emoji23][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
hili kwenda peponi inabid usizini,usiongope, utoe sadaka uende kanisan au msikitini, usiibe usitukane usiende disco, usinywe pombe wala starehe,,,, Aaah nimeona kabisa siwezi kuukwepa Moto pepo ngumu sana,,,

nimechagua kuishi vizuri dunian kuteseka Mbinguni,,,siwezi kuteseka kote kote
 
mkuu mimi sio kama napinga swala la kujenga hapana,,, ila nnachopinga mm ni swala la kujitesa ili tu nijenge uko boko mnemela ndan ndani uko,,,familia tutakula bata hapa hapa mjini kwann tuteseke mara mbili duniani na Akhela
 
Hiki kitu lazima kinafanywa na watu wenye akili iliyoenda shule halafu akili hiyo ikatoka shule ikiwa imeelimika
 
Kwa sababu bado unaendelea kujifunza, nashukuru sana unaanza kukua huku ukifanya maamuzi.

Umekuwa na umeshajifunza.




NOTE: Vaa barakoa na unawe mikono kwa sabuni na maji tiririka pia ukae mbali na mikusanyiko.
Tukifanya makosa yale yale waliyoyafanya waliotutangulia tutakuwa watu wa hovyo sana! Wenzetu walikosea kwa kuwa hawakuwa na reference, sisi tutajitetea nini?
 
Pale goba road yote Ile kulikuwa porini mwaka 2004 hakuna hata barabara yaani mabush

Nina ndugu alinunua kiwanja huko .

Leo hii ninavyooengea na wewe Ile rami ya Goba imepiita mbele ya kiwanja chake just imagine

Akiwa ndani kwake dirishana anaziona gari zile kule zinapita
 
Lakini umepewa second chance...kutubu, tubu utasemehewa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
kwani kulea vizuri ni lazima wewe uteseke,,,point yangu ni kwamba siwezi kujitesa ili nijenge au nijitese ili watt waje waish vizut tutaishi vizur wote uku uku mjini kikiisha bas tutateseka wote
[emoji16][emoji16][emoji16] mteseke wote, uko so selfish

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wengine walisubiri kubwa mwisho hata ndogo wakakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…