Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Ukikaa huko nje ya mji wakati una crown athlete unajikuta upo pale pale...Mtu mwenye uwezo wa kulipa kodi ya nyumba laki 3 na nusu kwa mwezi uchumi wake ni mzuri asee ningekuwa mimi nahamishia maisha pembezoni mwa mji ambako maisha ni nafuu ndani ya miaka 5 ntakuwa nshajenga.
Japo kupanga ni kuchagua.