Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hongera zako ngoja sisi tuendelee kukariri.....Usikariri mzee..Mimi nilinunua gari mwaka 2018 directly imported from Japan nikiwa nimepanga kwenye chumba kimoja, na sina hata kiwanja.
Mwaka huu 2021 tukijaliwa uzima nitajenga nyumba ya zaidi ya 50m.
Sijafeli popote pale, ni suala la vipaumbele tu.
Ndio hivyo mkuu, kuna watu hawaamini struggle za mtoto wa mkulima.I catch the feeling hata ufanye jambo gani utasikia mwana wakishua ana connection kumbe una bahati tu
Mbona kama umepaniki?Hongera zako ngoja sisi tuendelee kukariri.....
Alafu ukimaliza kujenga hiyo nyumba ya 50m..... Uza then ongezea pesa kanunue V8.....haaaahaaa
Nikufundishe kitu labda Watu wanao ganga maisha ukinunua gari unatakiwa uwe na gari lingine mfukoni... Na maanisha uwe na pesa nyingine at least ya gar ingine...mfukoni
Ntarudi kuandika nipo busy kidogo
Unasema unifundishe kitu kwamba "ukinunua gari uwe na gari lingine mfukoni".Hongera zako ngoja sisi tuendelee kukariri.....
Alafu ukimaliza kujenga hiyo nyumba ya 50m..... Uza then ongezea pesa kanunue V8.....haaaahaaa
Nikufundishe kitu labda Watu wanao ganga maisha ukinunua gari unatakiwa uwe na gari lingine mfukoni... Na maanisha uwe na pesa nyingine at least ya gar ingine...mfukoni
Ntarudi kuandika nipo busy kidogo
Hajitambui kivipi?..as long as anaweza kulipa hiyo hela mwache aendelee kulipa..hakuna mwendawazimu wa level hizo.Hata kama atapiga mtu makofi, regardless ya kipato chake, hivi ni kwanini alipe 900k?
Ninaamini huyu dogo hajitambui!
Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
Kwenye somo la portfolio analysis & investment...halifundishi iyo nadharia Yako... all in all mshukuru mungu kwa kukufanikisha Na uendelee.. "KICKING THE ODDS" in LifeMbona kama umepaniki?
Kwa nini nikimaliza hiyo nyumba ya 50m niiuze?
Nikimaliza hiyo nyumba ya 50 nitakuwa na Gari + Nyumba.
Nitakuwa nimefanikiwa kuwa na hivyo vyote pamoja na kwamba nilianza kununua gari kabla ya kujenga nyumba.
And the point here is... USIKARIRI MAISHA.
Kuna watu kama nyie ambao huwa mnaamini kuwa kununua gari kabla ya kujenga ni kupotea.
I'm here to prove you wrong kwa ushuhuda halisi wa maisha yangu mwenyewe.
Kila kitu ni priority mzee... LEARN THAT FIRST.Kwenye somo la portfolio analysis & investment...halifundishi iyo nadharia Yako... all in all mshukuru mungu kwa kukufanikisha Na uendelee.. "KICKING THE ODDS" in Life
Njia iliyo sahihi kwa vijana wa kimaskini ni vizuri wa si kimbilie kununua ma gari kabla ya nyumba....
Endelea na maamuzi yako vijana makini wata kupuuza.....
Katika maajabu ya dunia na wewe ni ajabu sijui hata kinacho kuwasha kujibizana na mimi Ni nini mimi niliandika mtazamo wangu.....Kila kitu ni priority mzee... LEARN THAT FIRST.
Kila mtu ana vipaumbele vyake kulingana na kipato chake na lifestyle yake.
Usilazimishe kila mtu awe na priority kama zako kama ambavyo mimi silazimishi mtu awe na priority kama za kwangu.
Kijana makini hataacha kununua gari kabla ya kujenga ILA ataangalia PRIORITY zake VS Uwezo wake wa kifedha and then atachagua njia ya kwenda.
Mimi niliangalia priority zangu Vs uwezo wangu nikanunua gari nikiwa kwenye chumba kimoja cha kupanga na panapo majaliwa mwaka huu nitajenga na hela za kuanzia tayari zipo.
USIKARIRI MAISHA MZEE BABA