Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Hongera zako ngoja sisi tuendelee kukariri.....Usikariri mzee..Mimi nilinunua gari mwaka 2018 directly imported from Japan nikiwa nimepanga kwenye chumba kimoja, na sina hata kiwanja.
Mwaka huu 2021 tukijaliwa uzima nitajenga nyumba ya zaidi ya 50m.
Sijafeli popote pale, ni suala la vipaumbele tu.
Alafu ukimaliza kujenga hiyo nyumba ya 50m..... Uza then ongezea pesa kanunue V8.....haaaahaaa
Nikufundishe kitu labda Watu wanao ganga maisha ukinunua gari unatakiwa uwe na gari lingine mfukoni... Na maanisha uwe na pesa nyingine at least ya gar ingine...mfukoni
Ntarudi kuandika nipo busy kidogo