Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Huu upepo umeanzia Marekani, Nlisoma mtandaoni kua mamilioni ya vijana wengi wa kiume Kule united states hawaendi tena chuo, kijana akimaliza high school, anaingia kitaa Anajiajiri kwa kupiga mishe zake Binafsi, vijana wa USA wanaona kugraduate chuo unadaiwa $60,000 na kazi hazilipi ni ujinga, nahis hao vijana waliona graduates wanavo-suffer.
Kwa hapa bongo mtu unapoteza pesa kusoma chuo, unaingia kwenye madeni Ya heslb, mbaya zaidi unapoteza na muda, halafu ukirudi mtaani ajira hakuna, kazi moja mna-apply watu 2000, na ajira zilizopo ni kutembeza beseni, kwanini mtu uende kusoma chuo? Mpaka upate ajira ya maana kidogo, tena uwe na bahati, hapo umeshasota miaka 5 kitaa
Mbaya zaidi elimu ya chuo, familia zetu na jamii zinatujengea sisi vijana conditioning ya ki*enge tangu tukiwa primary kwamba soma chuo uje uwe na maisha mazuri, soma usije kuosha magari mtaani, soma ufanye kazi za ofisini, so Kijana Ukifika chuo na kugraduate unajiona speeeeciall, Jamii inategemea makubwa na mazuri kutoka kwako, heee ukiingia mtaani kazi zilizopo ni za Kuchoma mkaa na umachinga wa kutembeza beseni, so situation unayokutana nayo Mtaani Ina f*ck up na mental conditioning uliowekwa na jamii kwa miaka 16+ mwishowe mawazo ya kujiua na kuhisi kuwa umelogwa yanaingia kichwani.
Mtu ambaye elimu ilimtoa miaka ya 1990's au aliyeajiriwa baada ya kutoka chuo na kamshahara ka laki 9, hawezi elewa andiko hili.. Ukimwambia kusoma chuo siku hizi ni useless, cheti cha degree Thamani yake ni sawa na ile toilet paper