Kushauri watu kuchanja ni dhambi? Rais ameshasema kuchanja ni hiari, hao wengine ni watafuta kiki tu waonekane wamechanja watu wengi kwenye maeneo yao!! Lakini vilevile hii habari ina ukweli kiasi gani? Maana siku hizi kila mtu anaweza kujianzishia tu mada yeyote, Mf. kuna watu waliandika humu Samia kaenda US na ATCL, which ulikuwa ni uongo 100%Hii dhambi Samia itamtafuna sana na hatokuwa na mwisho mzuri wa utawala wake.
Kama ni kweli,wanakosea.Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wapokeaji wa pesa za TASAFU, wameambiwa kuwa ,lazima wachanjwe ,ndio wapokee pesa za TASAFU.Na kama watakataa kuchanjwa, basi hawatapewa pesa hizo.
Kwa hali hiyo, wananchi hao wametakiwa kuchanja kwanza ndio, waende kupokea pesa. Yaani unachanjwa kwanza, ndio unaelekea kwenye chumba cha pesa. Kama hautaki, unatakiwa kuondoka. Je, hii ndio chanjo ni hiari?
Haya maneno mepesi sana lakini ......Hii dhambi Samia itamtafuna sana na hatokuwa na mwisho mzuri wa utawala wake.
Lakini tuliambiwa we are a donnor country, na watawala waliopo waka nod kuonyesha ni kweliDalili zilianza kujionyesha mapema kabisa kwamba yale yalikuwa ni maneno ya kisiasa tuu, lakini ukweli ni kwamba swala la chanjo ni la lazima. Na ni lazima kwa sababu tunalazimishwa na wazungu kwa sababu pia tunahitaji msaada wao.
Waka "nod"?ππππLakini tuliambiwa we are a donnor country, na watawala waliopo waka nod kuonyesha ni kweli
They noddedWaka "nod"?ππππ
What is the same meaning of nodded?Waka "nod"?ππππ
Hivi huwa wanatoa muitikio kwa uoga au huwa wanamaanisha?ππππThey nodded
Wapo humu tuwasubiri wasemeHivi huwa wanatoa muitikio kwa uoga au huwa wanamaanisha?ππππ