Hii taarifa ya Tunduru kuwa lazima uchanjwe ndio upatiwe pesa za TASAFU ni kweli?

Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wapokeaji wa pesa za TASAFU, wameambiwa kuwa ,lazima wachanjwe ,ndio wapokee pesa za TASAFU.Na kama watakataa kuchanjwa, basi hawatapewa pesa hizo.

Kwa hali hiyo, wananchi hao wametakiwa kuchanja kwanza ndio, waende kupokea pesa. Yaani unachanjwa kwanza, ndio unaelekea kwenye chumba cha pesa. Kama hautaki, unatakiwa kuondoka. Je, hii ndio chanjo ni hiari?
Inawezekana hakuna ukweli hapo....ila Kama mmechukua hela za watu kwanini msichanjwe??
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wapokeaji wa pesa za TASAFU, wameambiwa kuwa ,lazima wachanjwe ,ndio wapokee pesa za TASAFU.Na kama watakataa kuchanjwa, basi hawatapewa pesa hizo.

Kwa hali hiyo, wananchi hao wametakiwa kuchanja kwanza ndio, waende kupokea pesa. Yaani unachanjwa kwanza, ndio unaelekea kwenye chumba cha pesa. Kama hautaki, unatakiwa kuondoka. Je, hii ndio chanjo ni hiari?
Sasa itabidi wachague moja, kuchanjwa au wasamehe fedha zao
 
Back
Top Bottom