Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

Hii vita kati ya wanawake wenye pesa na wanaume wasio na pesa naona inazidi kutamalaki kila kukicha....
Anyways, mwanamke yeyote alie komaa anapenda mwanaume anae jiamini na mwenye kuweza kumpa solutuons hata kama hana pesa.
 
Lakini Ujumbe umekufikia...hata usiangaike kujisafisha...mada zako zinajieleza mkuu 🤣 🤣
Ndio maana ata ukienda hospitali, unakutana na madaktari bingwa wa watoto, moyo, uzazi n.k Kwa hiyo usishangae sana kwenye mada zangu
 
Mahusiano yamekuwa ni ajira

Watumia salio katika kupata uchi hao ndio waliodukua mfumo na kuzalisha pattern mpya ambayo Sasa imedominate na kuwa Autopilot kwa kila anayemiliki uchi.
Hali tete, imekuwa kama mlipuko wa kipindupindu, kila sehemu ni hela kwanza; unajiuliza kwa nini iwe ni kipindi hiki?
 
Hii vita kati ya wanawake wenye pesa na wanaume wasio na pesa naona inazidi kutamalaki kila kukicha....
Anyways, mwanamke yeyote alie komaa anapenda mwanaume anae jiamini na mwenye kuweza kumpa solutuons hata kama hana pesa.
Kinadharia hii tunaichukua, ila ki vitendo kuna mengi zaidi ya hayo
 
Baby sometimes love just ain't enough 🎼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…