Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

Hii vita kati ya wanawake wenye pesa na wanaume wasio na pesa naona inazidi kutamalaki kila kukicha....
Anyways, mwanamke yeyote alie komaa anapenda mwanaume anae jiamini na mwenye kuweza kumpa solutuons hata kama hana pesa.
 
Lakini Ujumbe umekufikia...hata usiangaike kujisafisha...mada zako zinajieleza mkuu 🤣 🤣
Ndio maana ata ukienda hospitali, unakutana na madaktari bingwa wa watoto, moyo, uzazi n.k Kwa hiyo usishangae sana kwenye mada zangu
 
Hii ipo Toka kale Incase ikiwa hujatambua.

Walikuwa rahisi kwa Mwanaume mwenye:
1.Mashamba
2.Mwindaji hodari
3.Mkulima hodari
4.Mvuvi makini.

Humo ndani utaona wote kigezo Chao ilikuwa huduma atakavyo pata.
Ila material things kwa Sasa ndio imekuwa focus.
Kubali hiyo ndio kanuni ya mchezo, it's business for them.

Learn and Relearn
Mahusiano yamekuwa ni ajira

dz.jpg
 
Watumia salio katika kupata uchi hao ndio waliodukua mfumo na kuzalisha pattern mpya ambayo Sasa imedominate na kuwa Autopilot kwa kila anayemiliki uchi.
Hali tete, imekuwa kama mlipuko wa kipindupindu, kila sehemu ni hela kwanza; unajiuliza kwa nini iwe ni kipindi hiki?
 
Hii vita kati ya wanawake wenye pesa na wanaume wasio na pesa naona inazidi kutamalaki kila kukicha....
Anyways, mwanamke yeyote alie komaa anapenda mwanaume anae jiamini na mwenye kuweza kumpa solutuons hata kama hana pesa.
Kinadharia hii tunaichukua, ila ki vitendo kuna mengi zaidi ya hayo
 
Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa.

Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga.

Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano yaliyotulia.

Sasa najiuliza, hili pepo linalopoteza hisia za wanawake kwa mwanaume asiye na kipato au uchumi duni, na kumfanya huyo huyo mwanamke kuwa na hisia kwa mwanaume mwenye kipato/ uwezo wa kuhonga lililetwa na nani?

Kwa sababu, kwa zamani hii hali haikuwepo; watu walikuwa na mapenzi ya kweli ata kama mnashindia mlo mmoja kwa siku.

Nipo tayari kufanya ibada ya kukanyaga mafuta, tulikemee kabisa hili pepo liondoke kabisa katika hii dunia.​
Baby sometimes love just ain't enough 🎼
 
Back
Top Bottom