mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Sema shida msosi,Sio Daladala tu. Huu mji una hekaheka nyingi sana watu wa mikoani mtusamehe
Ova[emoji2088]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema shida msosi,Sio Daladala tu. Huu mji una hekaheka nyingi sana watu wa mikoani mtusamehe
Ndiyo hivyo,maana sijaona kitu kinawapa ubize zaidi ya usafiri[emoji23],Nakubali....imagine Mtu anaamka saaa kumi na moja lakini hadi saa mbili asubuhi bado yuko bize na Daladala za kwenda Posta na hajapata......kurudi tena hivyo hivyo daily.
Mtu kwa siku anapoteza kuanzia masaa 2 hadi 6 ktk harakati za kwenda na kurudi kazini
Dah!! Yani mtu/Ndgu wa kijijini aje kwako alafu umwambie hivyo?? Hata kama ulimpa hifadhi ya mwezi mzima ila kitendo Cha kumwambia hivyo tu umeharibu. Ataondoka sawa lkn maneno utakayo yakuta huko kijijini siku ikienda hutoamini macho Yako.Kwangu hakuna nafasi kwa sasa ya kutunza mgeni hatakama nafasi ipo utatumia lugha ya kiutu.
Hivo utakaa hizi cku 3 kwa shida ili tutafute nauli urudi au kama una nauli ya kurudi itabidi urudi siku fulani.
Wabush povu linakutoka. Nimeshafanya sasa unasemaje? Na nimefanya nilivyo fanyaNani anakusumbua wewe kinachokusumbua wewe ni umaskini wako na gubu lako Kwa ndg zako
Mtu anakuja mara Moja Tena Kwa miaka kadhaa umzimie simu au umuache stendi ? Kama sio umaskini wa kiwango Cha lami Ninini? Mchukue mweleze abc akirudi atawaambia na wengine
Eti mikoani[emoji1787][emoji1787][emoji1787], hii mikoani huwa inanichekesha.Duh naona comments za watu wa mikoani wakiwa wamepaniki mnoo.
Tafuta hela ndugu ili utamani kula na ndugu zako wakati wote... haya malalamiko yako ni ishara ya umaskiniHii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanaume. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
HAWA WAGENI WENGINE NDO HUNAJISI WATOTO NA UNDUGU UNAISHIA HAPO HAPO. MNAHARIBIANA FUTURE. KILA MTU AKAE KWAKE. DUNIA YA SASA IMANI IMEKWISHA. TUSAIDIANE KATIKA SHIDA LAKINI SI KUVAMIANA TU NYUMBANI KWA KISINGIZIO CHA UKARIMU. NDUGU WENYEWE IMANI IMEWATOKA. ANGALIA WANAOBAKWA, NAJISIWA AU LAWITIWA. MHUSIKA UTAKUTA BABA, BAMDOGO, MJOMBA, COUSIN NA JIRANI KWA MBALI KIDOGO.
Masikini ndio wanaendekeza kuja kwa watu bila taarifa. Matajiri kwanza hawana huo muda wa kutembeleana hovyo majumbani. Hakuna watu wenye bajeti kali kama matajiri, kwanza lazima utoe taarifa mapema .a sio kwenda kukaa tu kwake bila plan.Hii ni dalili za maisha magumu sana. Mungu akunusuru, maana kulala na kula sio kitu cha kumzimia mtu simu.
Mfano,Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake.
Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije kwako nielekeze. Nikamuuliza wakati unapanga kuja ulinishirikisha? Unaamua tu kuja kwangu hata hujanitaarifu.
Jamaa ame mind kawaambia watu nimemkataa. Ninyi wa Mikoani mnadhani huku ni kama kwenu huko ambako hamna ratiba maalum. Mnajiamulia tu.
Mwaka juzi nlimwacha mtu stand kwa upuuzi kama huo. Kakaa zake Mbwinde mwisho kaamua kuja town a anipigia simu kuwa yupo Dar anataka aje home. Nlimwambia tu kuwa sipo home na familia tumesafiri.
Akaanza kuomba basi nimpatie pesa ya sehemu ya kulala anisubiri. Nilimwambia mwezi mzima sitokuwa home. Akataka nimtumie nauli. Nlizima na simu kabisa. Huu ni wendawazimu.
Halafu tukiwaakaribisha mnaenda kutusema kijijini kuwa huku tunaishi maisha mazuri sana hatuwajali watu wa vijijini. Mnaenda kutuponda sana kijijini kuwa tunatumia pesa vibaya.
Mimi walienda kusema nafuja sana pesa badala ya kuwasomesha watoto wao. Mtu kazaa watoto 13 anataka nimsomeshee... Mimi nina 3 tu. Bado wanaenda kusema nakuaje na watoto wachache ... Mwanaume gani. Mke amenikalia kichwani anarudi jioni kama mwanaume. Wanataka wife awafulie nguo zao. Na wanakuwa wakali akirudi awapatie chakula n.k sina hamu na ndugu kabisa.
Mmoja tumekaa naye mwaka mmoja amekuja nimsomeshe diploma. Akirudi toka chuo anaangalia TV mpaka saa 4 akipewa kazi basi za home siku yupo asaidie... Anasema anateswa sana hawezi soma. Nikasubiri likizo. Akaenda kwao kusalimia. Nikamwambia atafute chuo aendelee kusoma huko, nitamlipia ada.
Alilia sana anataka arudi Dar. Nilimwambia huku wifi yako atakutesa hutapata muda wa kusoma. Akabembeleza sana nilimkatalia coz alishanipakaza sana kijijini na kumchafua sana wife. Na mtu mwenyewe ni ndugu wa mbali kabisa..
HAWA WAGENI WENGINE NDO HUNAJISI WATOTO NA UNDUGU UNAISHIA HAPO HAPO. MNAHARIBIANA FUTURE. KILA MTU AKAE KWAKE. DUNIA YA SASA IMANI IMEKWISHA. TUSAIDIANE KATIKA SHIDA LAKINI SI KUVAMIANA TU NYUMBANI KWA KISINGIZIO CHA UKARIMU. NDUGU WENYEWE IMANI IMEWATOKA. ANGALIA WANAOBAKWA, NAJISIWA AU LAWITIWA. MHUSIKA UTAKUTA BABA, BAMDOGO, MJOMBA, COUSIN NA JIRANI KWA MBALI KIDOGO.
Hakuna mtu anadharau mtu anayejiheshimu na kuheshimu wengine. Kuna ndugu unatamani wawe wanakuja kukutembelea mara kwa mara. Sitaki mtu akae kwangu halafu asambaze majungu kwa watu. Mimi naishi na watoto wa dada na kaka, hapa ni kufuata masharti ya nyumbani kwangu. Nikisikia majungu kwa ndugu na jamaa na nikahakikisha umeyapeleka wewe utaenda kuishi nao.Watu wanajisahau sana
Nawakumbusha , tomorrow is mystery hakuna aijuae!
Unaowadharau sahivi ipo siku utawahitaji na hutawapata!
Maisha mzunguko
Cha mhimu mtu atoe taarifa kwanza Kwa mhusika na kuwe na sbb inayomfanya aje!
Ss hiyo kesi nyingineHakuna mtu anadharau mtu anayejiheshimu na kuheshimu wengine. Kuna ndugu unatamani wawe wanakuja kukutembelea mara kwa mara. Sitaki mtu akae kwangu halafu asambaze majungu kwa watu. Mimi naishi na watoto wa dada na kaka, hapa ni kufuata masharti ya nyumbani kwangu. Nikisikia majungu kwa ndugu na jamaa na nikahakikisha umeyapeleka wewe utaenda kuishi nao.
Kuna ambao hawataki kufuata sheria na mbaya zaidi wanaona kama wananyanyasika.Ss hiyo kesi nyingine
Mtu akija kuishi kwako lazima afuate Sheria za hapo kwako!
Jirani yako kakutwa na jamboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hakuna namnaKuna ambao hawataki kufuata sheria na mbaya zaidi wanaona kama wananyanyasika.
Tangu Jana namuita nashangaa kulikoni 🤷Jirani yako kakutwa na jamboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakat huo nilikua mdogo jamani,Magufuli hostel si zipo Coca[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kipindi ndugu wa mke wangu walikua wengi mno home, nikiwa kijana mdogo kabisa ndio tunaanza maisha na wife.
Sijui walijua Mimi ni "Jesus" naweza walisha wote kwa kuombea tu Chakula kiji multiply.