Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

Mm staki uongo demu namfanya chochote abachopenxa namsikiliza yy hata jicho poa .Ili mradi tupendane
 
Hayo mambo yapo tangu zamani. Ni hizi simu janja zimetupa urahisi wa kufahamu mambo kwa haraka, na yanasambaa kwa haraka pia. Hakuna jipya chini ya jua.

Ila wewe ni mdau wa hayo mambo unajulikana.
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…