Hii tabia Musoma inakera sana

Hio Tabia inaonekana we ndo mwasisi wake ,saa leo huenda kwenye huu msimu wa sikuku kuna jamaa yako kaja kakupiga pombe Sana. sasa Leo umeanza kuwaona wenzako Wana halibu na huku chanzo ni wewe.umekosea Sana mwanaume huwa halii lii Kwa kitu kidogo kama hicho.
 
Mleta mada hii ni lofa fulani ambaye hana kitu! Watu Musoma wanakula fedha za makinikia ,wewe na vichenji vyako vya mshahara wa mwisho wa mwezi unaletea watu wa Musoma dharau!
Inawezekana kweli mtu aligongea kwako hiyo K-Vant lakini hiyo siyo big deal!
Wewe ni masikini na huna kitu acha dharau kwa Watu wa Musoma.
Nunua K-Vant zako kaa sebuleni kwako kunywa.
Pale CHAMA LA WANA watu wana pesa zao ,wewe ndo una pesa za mawazo!
 
Mnasema ghorofani sehemu gani? Karibu na Bank ya NBC maeneo ya Ilipokuwa Pm bet au wapi? Nikaone hayo maajabu nikanunulie watu pombe niletewe watoto niondoke nao kama steering vile nimeua jambazi kuu
Hapo hapo mkuu
 
Sio mara ya kwanza me kwenda pale mkuu kila ijumaa nikipata nafasi hua naenda na sijaongelea vijana wote ila ni baadhi ya vijana wenye tabia hii na kutokana na tabia hii watu wameanza kupakimbia pale na wanaenda ADAVI me na rafiki zangu wengi sasaiv wamehamia uko kwasababu hawataki usumbufu na ukitaka kujua kama Kuna huu usumbufu ndomaana sasa ivi naona wameweka utaratibu wawatu kununua vinywaji kabla ya kuingia pale hii ni kujalibu kupunguza hili tatizo
Kama wewe ni muhusika pale wafikishie ujumbe kwamba wanapoteza wateja wengi sana kwa tabia hii na biashara ni ushindani sasaivi watu wengi sana wanahamia ADAVI japo ni mbali lakini wanachotaka kutafuta ni utulivu wawapo kwenye starehe zao.
 

Mimi nakupinga nimeishi Musoma miaka 18 mpka natoka 2014 najua changamoto za mji uo ni vijana kupenda makundi na hawataki kazi mfano now mi niko Arusha siku nkirudi tu mtaani pale Makongoro vijana wakijua wanajua jamaa karudi anapesa wakikuona wanaanza flan naomba 2000 ukiwapa wanafanya kitonga kila siku na ukiwakazia jua ipo siku utakabwa na kuchomwa ata mavisu.

Huwezi sema mtu yupo katika utafutaji yani unatoka kwako unaenda club ndani unalipa kiingilo tu 5000 unaingia ndani unazunguka kutafuta wa kukununulia kitu then wewe unaona sawa unasema nchi nzima ni omba omba like serious mkuu?

Ulishawai kwenda Element au kidimbwi mwanaume mwenzio akaja na kibilauli anaomba Serengeti yako?
 
Hvi Musoma pia kuna ombaomba wa barabarani kama ilivyo Mwanza, Dodoma, Dar na Morogoro? Naombeni jibu maana mimi maeneo ya ombaomba wa barabarni huwa yananikera kwelikweli tena wengine ni wazima kabisa wa akili na viuongo vya mwili.
OmbaOmba wa Dar sio wazaliwa wa Dar es Salaam, ni watu kutoka mikoa mingine kama vile dodoma.
Huwezi kumkuta kijana au mzee mzaliwa wa Dar es Salaam halafu amekaa barabarani anaomba.
Hawa vijana wa Musoma ni wazaliwa kabisa wa Musoma halafu kazi yao kubwa ni kuombaomba[emoji23][emoji23]! Hii ni aibu na fedheha kwa Wakurya na Wajita.
 
Musoma kuna mambo ya kishamba sana niliishi muda mfupi sikuwahi kutaman kurud tena kwenye maisha yangu, alaf vjan wa huko wanaona ujanja ni kutengeneza mabifu na fujofujo
Washamba kweli hata shinyanga hanawa tofauti kabisa.
 
Hii tabia unakuta kwa vijana Wa kiarusha pale shivazi.mrina bar,picnic, kitundu,na Huo mtaa Wa picnic Kwenda mbele mbele kidogo kuna vijana hapo Wa Arusha kazi ni kutembea na bilauri ya plastic kuomba ama kugongea pombe
Acha kuarisha wewe ..arusha machalii wadogo tu wanatafuta ela wenyewe weee takakaka
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Ss mzee baba si aliamua kulipa fadhila[emoji3][emoji3][emoji3]

Alivokuletea mtoto ulikataa ama..? Maana nguvu ya kvoo c mchezo

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha haha dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaongelea kula yeye anasema Wakurya na Wajita sasa wanaombaomba wapunguziwe K vant kwenye kikombe mara bia yaani wanatengeneza Cocktail tu na ukuwadi
Af unakuta kesho yake ndo huwa wanatamba kwa story zote zilizotokea ktk hilo eneo.... "jana nlikua sehem flan tumepuga vitu balaaa...." kumbe alikua anaomba

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Najaribu kuelewa point yako, umebase kwe kuombwa na kuombwa(kitu) lkn ukimsoma mtoa mada kati kati ya mstar unaweza ona amemaanisha tabia ya mtu kuja bar na kuanza kuomba bia, baa ni sehem ambayo "si lazima kwenda" maana ni either uwe na pesa ama uwe umekuja na mtu mwenye pesa, hivyo kitendo cha mtu kwenda ukitegemea utamuomba mtu akupe pombe huo ndo upumbavu maana sehemu kama baa inajulikana kwamba ni sehemu ya matumizi(yasiyo ya lazima), pombe sio hitaj la lazima sasa km huna pesa unaenda kufanya nini. Kuomba omba bia, kugongea gongea sigara au bangi ni usenge. Ukitaka stim tafuta chako kwanza utainjoi coz hakuna wa kukupimia stim

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hvi Musoma pia kuna ombaomba wa barabarani kama ilivyo Mwanza, Dodoma, Dar na Morogoro? Naombeni jibu maana mimi maeneo ya ombaomba wa barabarni huwa yananikera kwelikweli tena wengine ni wazima kabisa wa akili na viuongo vya mwili.
wapo ila sio wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…