School face
JF-Expert Member
- Sep 12, 2019
- 247
- 407
- Thread starter
- #101
Mzee unaonekana hupafaham Musoma me nimezaliwa Musoma na ninaishi Musoma na nimezungumzia Musoma mjini sijazungumzia mkoa wa mara huenda unaongea vitu usivyo vijua me nimezungumzia wilaya ya Musoma mjiniMkuu
Huyu bwana hana lolote
Kaamua kutoa uzi kudharau tu eneo la watu na wa watu wake
Kasema kavisit Musoma siku chache,hiyo baada kahudhuria miezi mingapi mpaka ku-prove hao watu wanaenda hapo kila siku ya mungu kuomba makusudically all year around?
Kaenda siku moja,leo anatutolea uzi
Huyu mtu ni mtu fulani hivi wa dharau na ku-generalize maisha ya watu pahali na kuwa-undermine as if yeye anakaa Ulaya sana
Kumbe ni punguani tu mwenye maisha wastani sawa na watanzania wengine milioni 60,cha ajabu anatukana mkoa mzima na watu kwa tabia ya watu wawili watatu wa baa moja tu Musoma mjini
Hii inaonesha huyu mtu ni limbukeni sana na mtu wa kukurupuka kutoa conclusion bila kuelewa
Kahudhuria baa moja tu..anaji ekti ni mkoa mzima
Huyu mtu ananishangaza sana
Ndipo Kuna hii tabia iliyojitokeza sasaiv na ukimuuliza mtu yoyote anaishi Musoma atakuambia
Pia mada niliyotoa ni habari za kuombana pombe kwenye sehem za starehe na sio chakula nahisi hujaelewa vizur pitia mada kwanza ndo uweze kuzungumza na tabia hii ipo hasa kunasehem inaitwa gorofan na sio mara ya kwanza me kwenda hapo kila ijumaa ninapo pata nafasi hua naenda hapo na hakuna sehem niliyosema nime visit Musoma sikuchache jaribu kua muelewa ndugu na kama ukiweza uje mwenyewe ujionee utagundua naongelea nini