Hii tabia Musoma inakera sana

Mzee unaonekana hupafaham Musoma me nimezaliwa Musoma na ninaishi Musoma na nimezungumzia Musoma mjini sijazungumzia mkoa wa mara huenda unaongea vitu usivyo vijua me nimezungumzia wilaya ya Musoma mjini
Ndipo Kuna hii tabia iliyojitokeza sasaiv na ukimuuliza mtu yoyote anaishi Musoma atakuambia

Pia mada niliyotoa ni habari za kuombana pombe kwenye sehem za starehe na sio chakula nahisi hujaelewa vizur pitia mada kwanza ndo uweze kuzungumza na tabia hii ipo hasa kunasehem inaitwa gorofan na sio mara ya kwanza me kwenda hapo kila ijumaa ninapo pata nafasi hua naenda hapo na hakuna sehem niliyosema nime visit Musoma sikuchache jaribu kua muelewa ndugu na kama ukiweza uje mwenyewe ujionee utagundua naongelea nini
 
Mzee we unaweza toka kwako ukafungasha p*mb* zako ukaenda bar kuomba pombe serious
 
Kumbe una lako jambo

Basi ungebaki unatetea hiyo wilaya yenu na siyo kutetea upumbavu
 
nakumbuka mwaka 2005 kuna jamaa kalikuwa kanaitwa nyoka kalimuibia Mr blue kila kitu mpaka nauli ya kurudia Dar
 
Ndio hapo hapo amepaongelea mleta mada, kuna mmoja alikuja na glasi kuniomba nimpunguzie K Vant ambayo mi nilikuwa napiga tarumbeta, ikabidi nimnunulie.......basi alihangaika ukumbi mzima kunitafutia mtoto mkali wa kwenda kumgegeda
Mkuu nakushauri hizi pombe kali usipende kuzipiga kavu kavu, hasa kama ni mnywaji wa kila siku au mara kwa mara....
 
Je huko Musoma Kuna vijana wakikurya wanaoimba kwaya?
Je Yuko mchungaji wa halali wa kikurya. Nikisema halali namaanisha wa RC au KKKT au Anglican?
Je huko Musoma kunakuaga na mashindano ya u miss?
Je huko Musoma wanauza wine au Ni k vant na konyagi na piwa na busaa?
Wanawake wa huko wanachambia maji ama makaratasi?
 

Ukubali ukatae kua huo ni ushamba wa kijinga ni bora mtu akuombe pesa umnunulie ila sio ninakunywa bia tena napiga tarumbeta unaomba nikupunguzie kwenye kaglass kako.

Musoma nipakishamba sana now nikienda nasalimia tu wazazi naondoka maana vijana wao wanachojua ni vurugu, wizi, makundi ya kipumbavu yasiyo na tija wala nini na kupenda bata wakati kazi hawataki fanya, unakuta kijana kapendeza balaa kazi yake uchawa hii hapana asee .

Ni bora uwe omba omba wa vitu vya Msingi kuliko kuzunguka na kiglass. Musoma ukitia tu maguu leo wakajua mgeni amekuja utaanza ona chawa kama wote wanajua jamaa ana mtonyo sasa wabanie kua unabajet yako wao watakuona kama vile unajiskia na ukitaka uwape mchongo wa pesa wanakuangalia tu wanaona kama unawapotezea muda wao wanataka mtu anaamka anaoga anapendeza anakaa kijiweni atapita mtu atapigwa mzinga
 
Mkaruka acha maneno mengi waambie jamaa zako waache kuomba pombe
 
Kwa hiyo wewe hupendi kula na wenzio??kama unajipenda na haupendi panga likupitie siku moja kwenye vichochoro endelea kula nao mkuu hao ndio musoma yenyewe..kula nao vizuri ikiwezekana uwe unawanunulia na msosi kabisa kabla ya vinywaji utaishi maisha mazuri sana ukiwa hapo msoma
Siku moja uwanyime halafu ujifanye baunsa wa kutembea kwnye vichochoro vya musoma usiku au jioni jioni nadhani utakuja huku jukwaan utuletee mrejesho kitakacho kukuta[emoji1][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]uwe unawanunulia bwna hao ni binadamu wenzako bwna
 
Hii tabia ni ya muda mrefu sana hapo,nimeishi musoma 2010-2011 kuna watu nilikuwa nakutana nao mchana kwenye shughuli zangu wakinikuta club moja ilikuwa hapo walikuwa wakiomba bia.
 
Mwanadamu anasaidiwa mahitaji ya msingi(ambayo yanahatarisha uhai wake), mf chakula au maji. Sio starehe. Starehe haiombwi, inanunuliwa. Kuomba starehe ni kiwango cha juu cha kuendekeza tamaa. Kama unaona sawa hili kisa mtu hajiwezi, basi ni sahihi mtu kukugongea mlangoni kwako na kukuomba amtombe mkeo kimoja sbb ana nyenge na hana hela ya mwanamke.
 
Tanga, Moro, Dar, Mbeya na Mwanza sijaiona hii tabia.
Hii ndio mikoa nimeingia kwenye kumbi za starehe bila kukutana na hao ombaomba wa vinywaji.

Wapi hapo Matvilla nini?
 
Basi yaishe ndugu yangu, usiwe na hasira hvyo... January hii itaisha tu tutarudi kwenye mstari.....

By the way Leo weekend njoo Calabash na kikombe....tutakunywa bia

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…