Hii tabia Musoma inakera sana

Unamwomba namba ya simu ili baadae ukampige pipe ili umwachie 10000 au twenty .ukiniomba hela nakuomba hela
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua

Wewe jamaa umeelewa uzi kweli?, yaani unasema ni sawa mtu kuomba kilevi cha mtu? Eti ni haki yao acha utani Mura!, ni sawa na useme ni haki ya mvuta sigara kugongea sigara inayovutwa.

Huo ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Gorofan pale mzee uje siku mmoja utajione alafu uje ulete feedback hapa Jf ikibidi ni tag kabisa

Mlima Mkendo ndo unapaongelea sio ndio.
Sasa Tata ndo umeenda umekutana na wahuni wenzio ndo unakuja hapa JF kuhidharirisha Mara .
Kumbka ile Ni Nchi ( NCHINI MARA)
Fuatilia maana ya neno Nchi kwanza ndo uje hapa .
 

Mkuu samahani, acha tu kujibu maana unajidhalilisha, utashusha credit yako bure.


Inakuwaje unatetea hili swala?

Wewe unaona ni sawa na ni haki yao kufanya ivyo?

Ukiwa na tamaa na starehe wana kukula

Kama tuna vijana sampuli hii sio bure taifa limeyumba mahali na lawama zote kwa John
 
Vp na chatto haujawai fika mkuu??natamani sana kusikia na habari za chatto
 
Mlima Mkendo ndo unapaongelea sio ndio.
Sasa Tata ndo umeenda umekutana na wahuni wenzio ndo unakuja hapa JF kuhidharirisha Mara .
Kumbka ile Ni Nchi ( NCHINI MARA)
Fuatilia maana ya neno Nchi kwanza ndo uje hapa .
Nchi yenu kama ndio imebarikiwa kuomba hivyo basi ina watu Wa ajabu sana ha ha ha ha
 
Musoma kamji kako kushoto sana,yani unapoingilia ndo pa kutokea hapohapo.
 
Amaiya tata
 
Mnasema ghorofani sehemu gani? Karibu na Bank ya NBC maeneo ya Ilipokuwa Pm bet au wapi? Nikaone hayo maajabu nikanunulie watu pombe niletewe watoto niondoke nao kama steering vile nimeua jambazi kuu
Hapo hapo
 
Pamezidi kuchoka na mvua za mwaka juzi mwishoni mpaka mwaka jana mwanzoni zilisababisha ziwa kujaa sana hivyo eneo la beach limepungua sana na kuharibika.

Kuna kipindi nilienda hapo palikuwa pazuri niliogelea sana
Alitakiwa apaendeleze maana alikiwa anapata watalii kibaoo
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua
Acha ujuha pombe sio chakula ni starehr tu,huna kalale nyumbani
 
Nunua bia 2, bia moja ni ya kwako inywe taratibu, bia ya pili iwekee ugoro hii ndiyo utakuwa unawamimimia kwenye glass zao kila wakija kukuomba.
 
Kijana wa kiume anaomba kinywaji???
 
Musoma ni peninsula mkuu...hata jina lake lenyewe musoma maana yake ni Peninsula.
OK sikujua hilo,huo mji ni kwetu ila imekaa kama loop Fulani unaingia na kutoka,mi naona mji mkuu Wa mkoa Wa Mara angalau wangeufanya uwe pale mwibagi au Bunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…