Hii tabia Musoma inakera sana

Hii tabia Musoma inakera sana

Wanazunguka na chombo kuomba vinywaji!!! Naona jambo la ajabu na geni kweli kwangu... sijui ni kwavile siendagi hizo sehemu (kumbi) za starehe au vipi ila sikatai maana...

Kuna katabia kanakofanania na hako tunakutana nako sana migahawani kwa mama lishe hasa hasa mikoa ya ukanda wa pwani

Wamama/wadada wanaouza vyakula wakiona umeenda mteja ambae ni kijana aisee utajuta! Maana mtu anakupimia (anakuuzia) chakula halafu anakwambia yeye ana njaa ikiwezekana umnunulie na yeye chakula

Haitoshi unamuagiza kinywaji (maana mara nyingi ukienda mgahawani basi huduma zingine nyingi kama siyo zote wanakufanikishia wao- mamalishe) basi na yeye anadai kinywaji au chenji ya kinywaji

Haishii hapo bado wakati wa kuondoka unalipia msosi anakupa chenchi lakini huku anakushawishi usamehe jero akapate maji baridi duh!!![emoji38][emoji38][emoji38]

Halafu tabia hiyo naona imeshamiri hasa kwenye migahawa yenye wahudumu zaidi ya mmoja. Unakuta mama mtu mzima (mara nyingi ndiye boss mmiliki wa biashara) halafu kunakuwa na binti au wadada na hao ndo wenye tabia ya kuomba omba sasa sijui hawalipwi vizuri na boss wao

Tena mara nyingi wanafanya hayo kimya kimya yule mama mtu mzima (boss) asisikie wala kuelewa kinachoendelea
Unamwomba namba ya simu ili baadae ukampige pipe ili umwachie 10000 au twenty .ukiniomba hela nakuomba hela
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua

Wewe jamaa umeelewa uzi kweli?, yaani unasema ni sawa mtu kuomba kilevi cha mtu? Eti ni haki yao acha utani Mura!, ni sawa na useme ni haki ya mvuta sigara kugongea sigara inayovutwa.

Huo ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Gorofan pale mzee uje siku mmoja utajione alafu uje ulete feedback hapa Jf ikibidi ni tag kabisa

Mlima Mkendo ndo unapaongelea sio ndio.
Sasa Tata ndo umeenda umekutana na wahuni wenzio ndo unakuja hapa JF kuhidharirisha Mara .
Kumbka ile Ni Nchi ( NCHINI MARA)
Fuatilia maana ya neno Nchi kwanza ndo uje hapa .
 
Wenye njaa ni watu wa jangwani pekee yake?

Natetea ujinga upi?

Mtu anatafuta hela ya kula,anaruhusiwa kufanya chochote aweze ku-survive

Mtu kaomba pombe,tatizo liko wapi?

Huyu katuambia kaombwa pombe,tunamuamini vipi?Hajaja mtu wa upande wa pili kuhakikisha,who the fvck is this nigga for me to believe anachosema?

Regardless,mtu aombe pombe asiombe,kuomba pombe ni ajabu?

Wewe umeombwa pombe,umekataa,huu us3ng3 unakuja kutuambia huku unatuhusu ni nini sisi maana sisi haituhusu

Kama wewe kuombwa kitu ni mtu kujilegeza I wonder na wewe ni mtu wa kujilegeza maana kila siku unaomba vitu...

Ni maajabu mwanadamu mwingine akiomba eti kajilegeza wakati wewe unaomba hujilegezi?

Wapvmbavu sana nyie!

Mkuu samahani, acha tu kujibu maana unajidhalilisha, utashusha credit yako bure.


Inakuwaje unatetea hili swala?

Wewe unaona ni sawa na ni haki yao kufanya ivyo?

Ukiwa na tamaa na starehe wana kukula

Kama tuna vijana sampuli hii sio bure taifa limeyumba mahali na lawama zote kwa John
 
Vp na chatto haujawai fika mkuu??natamani sana kusikia na habari za chatto
 
Mlima Mkendo ndo unapaongelea sio ndio.
Sasa Tata ndo umeenda umekutana na wahuni wenzio ndo unakuja hapa JF kuhidharirisha Mara .
Kumbka ile Ni Nchi ( NCHINI MARA)
Fuatilia maana ya neno Nchi kwanza ndo uje hapa .
Nchi yenu kama ndio imebarikiwa kuomba hivyo basi ina watu Wa ajabu sana ha ha ha ha
 
Musoma kamji kako kushoto sana,yani unapoingilia ndo pa kutokea hapohapo.
 
Shida unasikia mavi yananuka hujiulizi yamefikaje hapo....

Ndio shida ya watu wa nchi yetu...hawajui kutafuta mzizi wa tatizo
'
Wale ni wanadamu kama wewe,unatakiwa ujiulize wamefikaje hapo,nini chanzo?

Wewe unakimbilia kutoa uzi,wakati nchi nzima ni ombaomba wewe included!

Wale ni watu na wanataka kula kama wengine,ni jukumu lao kujitafutia chakula hata kama nikuua wewe..

Ni masikini hao ambao ni nchi nzima,hadi wewe ni masikini sema ni masikini aliechangamka,maana hata wewe unaomba walio mbele yako katika social ladder.

Nani kakwambia katika kujitafutia ugali ili u-survive kuna "Utanzania"?Utanzania ni nini hasa?

Utanzania ni mazuri na mabaya yanayofanywa na watu wake,including kua ombaomba!

Acha kujifanya wewe
Amaiya tata
 
Mnasema ghorofani sehemu gani? Karibu na Bank ya NBC maeneo ya Ilipokuwa Pm bet au wapi? Nikaone hayo maajabu nikanunulie watu pombe niletewe watoto niondoke nao kama steering vile nimeua jambazi kuu
Hapo hapo
 
Pamezidi kuchoka na mvua za mwaka juzi mwishoni mpaka mwaka jana mwanzoni zilisababisha ziwa kujaa sana hivyo eneo la beach limepungua sana na kuharibika.

Kuna kipindi nilienda hapo palikuwa pazuri niliogelea sana
Alitakiwa apaendeleze maana alikiwa anapata watalii kibaoo
 
Ni masikini,wafanyeje?

Man has to do anything to eat....wewe unatakaje kwa mfano?

They have to do anything in their power waweze kula even hata kuua wewe,its their right to do in order to feed themselves!

Shukuru mungu hawajakuua
Acha ujuha pombe sio chakula ni starehr tu,huna kalale nyumbani
 
Nunua bia 2, bia moja ni ya kwako inywe taratibu, bia ya pili iwekee ugoro hii ndiyo utakuwa unawamimimia kwenye glass zao kila wakija kukuomba.
 
Habari wana JF,

Moja kwa moja niende kwenye mada.

Kumekuwa na tabia ya ajabu sana na ya kusikitisha sana hasa kwenye kumbi mbalimbali za starehe yaani ukiingia kwenye kumbi nyingi za starehe hapa Mjini Musoma Kuna kuwa na vijana wengi sana wa kike na wakiume.

Lakini jambo linalo nisikitisha nikua vijana hawa hasa wakiume wamekua ombaomba wakiwa kwenye kumbi hizo za starehe tena kazi yao ni kuzunguka na cup wakikufikia kwako wanasogea karibu na kukuambia uwawekee kinywaji kidogo haijalishi ni kinywaji gani unatumia yeye ili mladi aonekane anakunywa na kinachoniudhi zaidi ni pale anapokuja mmoja akikuomba ukimuwekea kidogo tu anaenda kuwaambia wenzake nao wanakuja kukuomba na ukisha mpa mmoja basi jua kuanzia siku hiyo wewe ni rafiki yake wa karibu sana kila unapokuwa unaenda akikuona tu anakufuata na kukubembeleza umnunulie kinywaji au umuwekee kidogo kwakwel hii tabia imekuwa ikinikwaza sana wanapokuona umeingia wanakuja na kuanza kukusumbua.
Kijana wa kiume anaomba kinywaji???
 
Musoma ni peninsula mkuu...hata jina lake lenyewe musoma maana yake ni Peninsula.
OK sikujua hilo,huo mji ni kwetu ila imekaa kama loop Fulani unaingia na kutoka,mi naona mji mkuu Wa mkoa Wa Mara angalau wangeufanya uwe pale mwibagi au Bunda.
 
Back
Top Bottom