Hii tabia ni mbaya sana kwa baadhi ya wanaume wa JamiiForums. Kupewa namba sio lazima

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Eeeeh hapo kwenye mwandiko nilisema huyu angalau ananyoosha ila akili zao zimefanana sana bwana....ngoja nimtafute da mau kwenye comment πŸ˜‚πŸ˜‚
Umekosea mkuu
 
We mtu anakwambia muda wote gari limewaka anataka kupelekewa moto kwa nini vijukuu vya Pharaoh visiombe numberπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„alikuwa anabip kapigiwa anapiga mayowe
 
🀣🀣🀣🀣 kwaiyo nina swagger za mbali za ki da Mau… halafu unaeza kuta huyo da mau ni kabibi flan hivi ka sisiemu
Hata sasa mana muda wote analalamika wanaume wanamroga 😹😹😹
Mara ataibuka analalamika hawampi pesa wanapiga free P
 
Sindano hii iwachome daadeki
 
Kwenye profile ya mhusika mfano hapa kwenye id yangu bonyeza yatatokea maneno follow ignore, start conversation so wa kumuignore unaclick ignore unakua ushamaliza kazi
Ignore list unabonyeza wapi mkuu??
 
Na kuna wimbo Diamond kaimba kabisa
 
Kwenye profile ya mhusika mfano hapa kwenye id yangu bonyeza yatatokea maneno follow ignore, start conversation so wa kumuignore unaclick ignore unakua ushamaliza kazi
Ok asante
 
😹🀣🀣 nimeamka kukojoa comment yako imenifanya nicheke mpk machozi..!!

Watu na ma sponsor wenu 🀣
aaaah wawaache wapumue sasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa ulikosea pakubwa
Ila kwanza watu ni jasiri sana sijui ama ni matamaa,unawezaje kumtaka ambaye hata hujawahi ona sura yake,
Anyway ungempanga jamaa mmoja unawapa namba yake,simple kama ataka kuchezea rungu aendelee kukutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…