Hii tabia ya kuhamisha viongozi waliofeli inazidi kuturudisha nyuma kimaendeleo

Mbona sababu inaeleweka wengi wanaohamishwa unauta ni watu wazito au baba zao ndo hao wasisi wa chama chakavu.

Ndomna namkubali sana jiwe alitaka kuvunja hii mizizi ya kwamba kuna watu fulan hawagusiki
 
Mbona sababu inaeleweka wengi wanaohamishwa unauta ni watu wazito au baba zao ndo hao wasisi wa chama chakavu.

Ndomna namkubali sana jiwe alitaka kuvunja hii mizizi ya kwamba kuna watu fulan hawagusiki
Facts
 
Yaani aliye iba mbeya anahamishwa mbeya akaibe Arusha πŸ˜…πŸ˜…

Mimi nahisi si bure huenda wanakula wote tu
 
Umeshindwa kutaja mifano.

Unataka mtu mwingine achukue hatua kwa niaba yako, wewe nyuma ya simu, anonymous speaker, bado unaogopa, huna uthubutu.

You are a wussy.
 
Hapana hata kama asingeweza kabisa lakini tulikuwa tunasogea, kwanza aliowatupa nje ndiyo hao alipoondoka wamerudishwa ndani

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Hivi unaamin rais ana nguv kuliko mfumo? Mfumo unaweza kukuangusha na ukaanguka! Ili Tanzania isonge mbele bila unafiki ni lazima mfumo uliopo utoke kbs.
 
Mkurugenzi anasema hela zipo, mtu wa Manunuzi anasema tayari tumeshanunua vitu, Mtunza fedha anasema hela hazipo, yaani unajiuliza maswalu lukuki lakiki majibu unakosa. Hili Taifa lina tatizo kubwa saaaana pahala.

Tulimtoa mkoloni mweupe enzi zileeee, ila tukaingia tena kwa mkoloni mweusi ambaye naye tunatakiwa kumtoa kwa namna yeyote ile, maana huyu mkoloni mweusi ni mbovu kuliko hata mkoloni wa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…