Hii tabia ya kuwa pengo halitazibika ni uongo, kumpamba mtu tu. Kama pengo la Albert Einstein lilizibika, basi pengo lolote litazibika

Kwahiyo mnataka kuniambia nyie wabishi je pengo la Nyerere tayari limeshazibwa? Nyerere alikua wa kipekee sana
Limezibwa as long as Tanzania still exists! Nambie ni kipi hakijazibwa? Maisha yanaendelea ukiacha kipindi hiki cha udikiteita.
 
Pengo = Jino mdomoni kutokuwepo
Pengo = Jina la mtu
Pengo = nafasi iloachwa wazi na mwanadamu (kwa kuacha kazi, kufa, etc)

kutana na dada wa kinyarwanda akiwa na pengo halafu arembue kidogo, huku sura nakishi nakishi na awe namba 8
 
wapo wengi sana wa kuziba hizi nafasi za kisiasa.
Hiyo statement ni ya kutia matumaini lakini pia ni ya kweli. Wewe Retired ukifa.. hatutapata retired mwingine.. akafikiria kama wewe.. na akapitia yote uliyopita ili yamshape kama wewe katika fikra na matendo.

Kwa kifupi, hakuna uwezekano wa kupata nakala/copy mtu kwa hata asilimia 60.. na huo ugumu ndilo pengo lisilozibika.
 
Pengo = Jino mdomoni kutokuwepo
Pengo = Jina la mtu
Pengo = nafasi iloachwa wazi na mwanadamu (kwa kuacha kazi, kufa, etc)

kutana na dada wa kinyarwanda akiwa na pengo halafu arembue kidogo, huku sura nakishi nakishi na awe namba 8
haya hii ndiyo divergent thinking, bravo!
 
Hiyo statement ni ya kutia matumaini lakini pia ni ya kweli. Wewe Retired ukifa.. hatutapata retired mwingine.. akafikiria kama wewe.. na akapitia yote uliyopita ili yamshape kama wewe katika fikra na matendo.

Kwa kifupi, haki uwezekano wa kupata nakala/copy mtu kwa hata asilimia 60.. na huo ugumu ndilo pengo lisilozibika.
Kwa mamntiki hiyo katika milango ya genetics sawa, lkn si utendaji wa kawaida, yanazibika tu na maisha yanaendelea kwa ufanisi.
 
Pengo langu mtaziba sawa ila ni baada ya karne kumi kupita
 
Kwa mamntiki hiyo katika milango ya genetics sawa, lkn si utendaji wa kawaida, yanazibika tu na maisha yanaendelea kwa ufanisi.
Tatizo unataka kumtazama binadamu kwa jicho moja!? Tunnel vision... Binadamu ni kaka, ni dada, ni mjomba, ni shangazi, ni mwalimu, ni secret admirer, ni roll model, ni kiongozi, ni mfuasi, ni mkosefu, ni mpatanishi... Mwanadamu ni kitu kikubwa kuliko uongozi (au kile unachofahamu wewe juu yake)

Matendo yetu yanakuwa influenced na mahusiano yetu yote na ulimwengu. Na jinsi ninavyohusiana na ulimwengu kuna utofauti mkubwa sana kati yangu na binaadam wengine wote.

Kwahiyo huwezi ukapima kuzibika kwa pengo kwa aspect ya kupata VP mwingine na ofisi kwenda.. hapana.

Pengo la mwanadamu haliwezi kuzibika.. ila kupata mtu wa kufanya/kuendeleza pale alipoishia yeye.. hakika tunaweza na wapo. Na hilo pekee lisiondoe ukweli huu uliofichika kwenye hekima za wahenga na misemo yao.
 
Tatizo unataka kumtazama binadamu kwa jicho moja!? Tunnel vision... Binadamu ni kaka, ni dada, ni mjomba, ni shangazi, ni mwalimu, ni secret admirer, ni roll model, ni kiongozi, ni mfuasi, ni mkosefu, ni mpatanishi... Mwanadamu ni kitu kikubwa kuliko uongozi (au kile unachofahamu wewe juu yake)

Matendo yetu yanakuwa influenced na mahusiano yetu yote na ulimwengu. Na jinsi ninavyohusiana na ulimwengu kuna utofauti mkubwa sana kati yangu na binaadam wengine wote.

Kwahiyo huwezi ukapima kuzibika kwa pengo kwa aspect ya kupata VP mwingine na ofisi kwenda.. hapana.

Pengo la mwanadamu haliwezi kuzibika.. ila kupata wafu wa kufanya alipoingia yeye.. hakika tunaweza. Na hilo lisiondoe ukweli huu wa wahenga.
Tunamjua mwanadamu katika uwanja ambao tuna-interact naye. Huko kwingine unakokusema hakunihusu. Kijazi kwa mfano nitamuongelea kama KMK, siyo zaidi ya hapo maana maisha mengine yake siyajui na sina haja nayo, hayanihusu. Kinachonihusu ni kuwa yeye ni Chief Secretary, KMK. Pengo lake linazibika.
 
Na mimi nakwambia that statement isn't for you and you alone..or for the people who did interact with Hon. Balozi Kijazi as KMK...

But for family, friends, colleagues, and the whole human race... For you to say his other interactions doesn't concern you... Shows how delusional you are and just cold hearted.

Unless Aliyejitoa hiyo statement angesema kwa Waliomjua kama KMK hasa wewe Mr. Retired pengo lake linazibika..then it would have been okay..

Ila kwa mtu anayejali wengine.. there are people who lost their Father, friend, brother, Uncle, Husband etc.. how do you tell this to them!?
 
Kuziba pengo la mtu sio rahisi.

Ndio maana huu wimbo bado una trend sana mpaka sasa.

But for family, friends, colleagues, and the whole human race... For you to say his other interactions doesn't concern you... Shows how delusional you are and just cold hearted.
His life outside the line linking us is non of my business! Mpaka hapo tutakapo interact katika uwanja huo, then I will be in a position to comment! As KMK was our link and his pengo linazibika.! sijapenda neno ulilolitumia la delusional. Ikibidi nitakutukana as you have done to me, let me spare you by now!
 
His life outside the line linking us is non of my business! Mpaka hapo tutakapo interact katika uwanja huo, then I will be in a position to comment! As KMK was our link and his pengo linazibika.!
Huyo aliyetoa hiyo statement was exclusively talking to you!?

Or did he/she intend for that statement to be heard by all people who interacted with KMK in all facets of life!?

It's hard debating with you...
 
as it is with you!
 
Back
Top Bottom