Mbona maskani kuu ya panya ni sehemu yenye maakuli kama humo kwenye hiyo meli?Hawakuwa makini na wasafi tu.Mengine hayo yanahitaji ushahidi.
Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO.
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano vikiendelea kufanyiwa uchunguzi, WHO imesema.
Mlipuko wa virusi hivyo vimeripotiwa katika meli moja ya kitalii ya MV Hondius ambayo ilikuwa ikisafiri kutoka Argentina kuelekea Cape Verde.
Hantavirus ni nini?
Hantavirus ni aina ya virusi vinavyopatikana kwenye wanyama wagugunaji kama panya, na mara nyingi binadamu huambukizwa virusi hivyo kwa kupumua hewa inayotokana na kinyesi cha panya kilichokauka.
Kizimkazi ship π’Kwa hiyo panya wakae kwenye meli ipi sasa? π€
Ile couple iliyokufa inasadikika waliingia na ugonjwa melini, walipandia Argentina.