A
Anonymous
Guest
Walimu Ajira Mpya mwezi wa kwanza 2026 had leo hatujapewa pesa za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Babati, tunateseka hatuna hela ya matumizi.
Pia Walimu wa Science na wa Arts huwa mishahara inatofautiana wa Science kwenye barua ya kazi tuliyopewa basic salary ni Shilingi 925,000 but wametukata kwenye salary slip wameweka basic 891,000.
Nimefuatilia kwa waliopata ajira ya mwaka 2025 walikatwa hivyo baada ya kwenda kufuatilia ndo wakarekebishiwa inaonekana ni mchezo wao imekuwa sawa na Arts wanavyolipwa.