Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka ile ya Mbowe na ocd bwashee!Wewe kweli boya unasapoti utaahira kama huuView attachment 1593684
Sifa ya kuingia polisi zamani ilikuwa kimo, siku hizi ni kadi ya CCM.Tatizo mapolisi wengi elimu yao duni.Ndio maana hawajui taratibu zao za kazi hawazijui
we ni mwanaume au mwanamke? polisi aliyebeba bunduki akikuinamisha akupumulie kisogoni inaonekana utakubali! sio kwa ulofa huoUpumbavu kulazimisha police ajitambue kwenye mambo ya siasa. Hiyo siyo kazi yake.
Raia tuwatii police siyo kurumbana nao.
Huwezi Fanya marumbano na mtu aliyebeba bunduki. Utapigwa risasi na siasa zako. Jitabue unabishana na bunduki siyo mwanasiasa mwenzako.
Trained to shoot not to politicize.
Hawajitambui wanatembea bila nguo au ?Polisi kwanza wajitambue
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.
Kama Taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!
Maendeleo hayana vyama.
Uaskari polisi ni huduma kama zilivo huduma nyengine. Ni kukosa tu ustaarabu ndo maana tunahalaisha misemo kama " unauliza makofi polisi?"Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema.
Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani Mbowe.
Kama Taifa nadhani kura mahali tunakosea, Tujirekebishe!
Maendeleo hayana vyama.