Hii tabia ya wanawake kupiga picha za design hii ni fashion au?

Ni maafa ya utandawazi tu.Kuna kipindi itafika kuweka picha za tendo lile lilopelekea hali hiyo zitaanza kutupiwa ,nan wahusika wenyewe.
 
Kujidhalilisha wenyewe ni sawa ila kudhalilishwa ni kosa.ni nini sasa hiki,Hivi si hata baba zao wanawaona maana wanatupia mitandaon??
 
Siyapendi haya mamtu basi tu. Tumejaliwa mila na desturi nzuri lakini kwa ulimbukeni huu wa kijinga bora tu nimpende mama yangu Pagi
 

Hii inaitwa force that is directly proportional to the product of their Pregnant
 
Ama kweli, wapiga picha kazi wanayo!! Kama nawaona vile wakiwa wanatoa maelekezo ya jinsi ya kukaa! Kibarua hiki kimeshakuwa kigumu tyr!!!
 

wendawazimu umewaingia.
 
Tatizo ni ubora wa mayai ya uzazi watu hawana uhakika nayo hivyo akiipata tu atatambishia bara na visiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…