mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hebu nitoe ushamba kidogo. Huo "uke wenza" upo hadi kwa wakristo?Wanawake baadhi wanatafuta wanaume waliopo vizuri kiuchumi. Wanaume waliopo vizuri kiuchumi wengi wana miaka kuanzia 35 ambapo wengi wao wana familia tayari.
Mwanaume mwenye ndoa ambae ndio anapaswa kuwa makini maana ana kiapo cha kulinda, anazini tena peku na kutia mimba juu ila hilo halionekani kama ni tatizo imagine!!Yaani,nimeshangaa hapa,
Hiyo mimba bila mwanaume asingeipata.
Binafsi Kuna mmoja pia accidentally tume date,Wanawake baadhi wanatafuta wanaume waliopo vizuri kiuchumi. Wanaume waliopo vizuri kiuchumi wengi wana miaka kuanzia 35 ambapo wengi wao wana familia tayari.
Anakuwa na future pia,na visivyoelezeka.Mawardat naomba unisaidie kujibu hapa
Mwanamke aliye kwenye ndoa ya halali,kisha Mwanaume akaenda kuzini au kumpa mimba Mwanamke wa nje,Basi huyo Mwanamke anayo haki ya kuomba talaka yake,unakuta Mwanamke kajituliza halafu analetewa maradhi Nyumbani,tena akiwa na watoto analea.Mwanaume mwenye ndoa ambae ndio anapaswa kuwa makini maana ana kiapo cha kulinda, anazini tena peku na kutia mimba juu ila hilo halionekani kama ni tatizo imagine!!
Upo sana!Hebu nitoe ushamba kidogo. Huo "uke wenza" upo hadi kwa wakristo?
Hii DUNIA acha tu USIOMBE MAPENZI YAINGILIE KATI WAKATI UPO KWENYE NDOAMwanaume mwenye ndoa ambae ndio anapaswa kuwa makini maana ana kiapo cha kulinda, anazini tena peku na kutia mimba juu ila hilo halionekani kama ni tatizo imagine!!
Ee mwanaume unaweza ukawa na pesa na usiwe na future ya maisha,zaidi ya kula bata na watoto wazuri.ongezea nyama kidogo
Uzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.Binafsi Kuna mmoja pia accidentally tume date,
Wife kajua maana Mimi wife ni mwalimu huyu Dada wa watu ana biashara zake.
Mdada Hana wivu anamuheshimu wife hakuna simu za usiku dada ila wife baada ya kujua
Now ndoa tumekua kama ukanda wa Gaza mara wanaume mbwa mara wanaume nyau nyau nyau ILA MIMI NILI BAHATIKA KUPATA MKE MWEMA ILA NOW NIMEJICHANGANYA SIAMINIKI NAONEKANA MUHUNI
MIMI NI VERY GENTLEMAN ILA SASA YAMENIKUTA
Sababu ni moja uchumiKumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?
Na huu ndio ukweli mchungu.Uzuri mkeo ndo muda wake huu wa kwenda kuonja ladha mpya kwa crush wake, wanaume walokuzidi kila kitu alokua anawakataa kwa kulinda heshima yako.
Bora mume wangu anisaliti nitamlipizia yataisha ila akizaa nje hiyo ni good bye.Unajijua una mke,huko nje unatafuta Nini Sasa?
Na hiyo mimba aipeleke wapi? Ni mwendo wa kubanana Hadi kieleweke.
Hutaki mtoto wa nje😂Bora mume wangu anisaliti nitamlipizia yataisha ila akizaa nje hiyo ni good bye.
Katika kitu nachukia ni watoto wangu kushare baba na watoto ambao sijawazaa
Yaani nataka watoto wangu wawe na baba yao wao peke yao tu.Hutaki mtoto wa nje😂
Mie kama mtoto wa nje aniletee nimlee,asibaki huko nje,
Daaah,ungemkuta na mtoto kabla yako ingekuwaje😂😂Yaani nataka watoto wangu wawe na baba yao wao peke yao tu.
Sina moyo wa kulea mtoto wa kambo.
Bahati yanguDaaah,ungemkuta na mtoto kabla yako ingekuwaje😂😂
Hao wawili uliotoa mfano hawawakilishi wanaume. Wanaume wa kweli hawafanyi huo upumbavu hao jamaa zako akili hawana yaani kukaa Mbali na mke ndo uanze kutiatia mimba wanawake wengine?Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza.
Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata mwaka tunashangaa namba ngeni inatupigia, kuulza ni nani anatuambia mimi ni mke mdogo wa kaka yenu! Nilichoka kwa kweli.
Kumuuliza Brother anasema huyu binti nilimtamani tu ila akanitegeshea mimba hivyo sina jinsi😂😂😂 Pia kuna jamaa yangu alipata kazi ya ualimu Dar. Aliacha familia huku Dodoma ili akamilishe mambo yake huko Dar then familia imfuate.
Mke amekaa akaona kimya…..uzuri amewahi kwenda kumtembelea kwa kipindi flani so alivyoona kimya akaamua kwenda bila taarifa. Kufika anamkuta binti mjamzito na anajitambulisha me mke mwenzio 😂😂😂😂 Jamani nini kimetokea sikuhizi?