Hii tabia ya watu kuja na thread "Leo ni siku ya mwisho kutumia JF"

Wanatuaga kama vile walituomba kujiunga... Mkitaka kutoka tokeni tu taratibu hatutaki matangazo. Wanajifanya wa muhimu saaaana kwamba kutokuwepo kwao labda kuna kitu tutamis. KWENDENI
 
Huu mtindo unakua kwa kasi
Wengi ni wasaka kiki tu...JF ni km kilevi tu ni vigumu mtu kuiacha moja kwa moja(ubadili ID tu)
Ulikuja kimyakimya
Sepa pia kimyakimya
.
.
Unatuaga kwani unasafiri ili tukusaidie nauli?
 
Hahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namimi natoa taarifa mapema kuanzia tarehe 01 mwezi 06 mwaka 2077 najitoa rasmi JF.....nitawamiss nyooote
 
Wanatuaga kama vile walituomba kujiunga... Mkitaka kutoka tokeni tu taratibu hatutaki matangazo. Wanajifanya wa muhimu saaaana kwamba kutokuwepo kwao labda kuna kitu tutamis. KWENDENI

Kweli kabisa kuna kama The bold au ONTARIO nikiona wanatoka hao ntagawana nao mshahara wangu wa mwezi mmoja ili wabaki wengine wakiondoka kwanza ntaangalia mchango wao hapa jf, kama hamna wakalale mbele tena wa rest in peace mxiuuuu zao

tena wamenifundisha hata namna ya kusonya mfyuuu zao ndo nachojivunia kwendeni kule
 
Hahahahaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namimi natoa taarifa mapema kuanzia tarehe 01 mwezi 06 mwaka 2077 najitoa rasmi JF.....nitawamiss nyooote

Wewe ata uondoke tu maana nikiona uzi unaoanzisha ni wa uganga uganga, ushirikina, ulozi, khaa maana kuna uzi mmoja umenifanya nikilala, nalala uchi ili nione wachawi ila mpaka sasa sijawahi kuwaona wachawi

i wish i could be Paw (in voise of naniliu)
 
Hahahaa hallooo unaongea na mie au unaongea na simu
Na wewe Numby tangia upate hiyo app ya emoj na ujue kubold maandishi bila kusahau kuyawekea rangi maandishi yako napata tabu sana

i wish i could be @invincible (in voise of naniliu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…