Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ulipo bosha hodi, uliingia.Kama mtu alipojiunga alibisha hodi kwanini leo asiage?
Mfano: mimi nilibisha hodi nikakaribishwa kiitifaki siku naondoka natakiwa kuaga.
Tusiwe negative kila siku. Wengine hata hizo kick mnazodai wanazitafuta kwa kuaga hata hazipo vichwani.
Hapa issue ni mtu anapo aga alafu haondoki....[emoji2] [emoji2] [emoji2]