Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Yabaki huko huko pm.Sheria za jf zinasemaje kuhusu maongezi ya pm?!
Sasa maajabu yake ni kwamba jamaa ndiyo alianza kulalamika na wadada ndiyo wakaja kuonyesha ya upande wao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yabaki huko huko pm.Sheria za jf zinasemaje kuhusu maongezi ya pm?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shemeji kumbe ushalishuhudia hilo
kuna watu wakitoka humu jf nadhani ata elimu wengine tutakosa.
Kuna nyuzi nyingine ya ajabu lakini unakuta imeonwa mara 30,000 sasa anzisha uzi wa jinsi ya kujua bidhaa feki la haula mpaka kesho unaweza ukakuta una onwa mara 63.
wenyewe tunaogopa kujulikana alafu mtu anatuchezea eti anaondoka pyeeee zake aka RIP
Naunga hoja mkonoHabari
Kuna ka mtindo hapa kameanzishwa na memba humu kututishia kwamba wanaacha kutumia jf
Katika uchunguzi wangu niliofanya nikagundua yafuatayo:
1. Unatumia simu, laptop, au mfano wake ila ukiamua kuacha jf unaitangazia dunia nzima vizuri lakini japo ni haki yako
2. Unaamua kutoka jf kama Miss Natafuta ila baada ya siku tatu unakuja tena na unakuwa active zaidi ya Troll JF au @joseverout
3. Unaamua kutoka jf tena unatupa muda ikifika saa kumi jion utakuwa ushatoka ila ikija comment ya saa tatu usiku unajibu na kesho na kesho kutwa unakuwa bado upo
4. Unaamua kujitoa jf lakini uki-tag-iwa unakuja kwa spid ya mwanga wala haipiti sekunde 59
5. Wengine wanaamua kujitoa wanaanzisha uzi ila anapata comment tatu. Kesho anakuja na nyuzi nyingine baada ya kukosa support
6. Wengine wanaamua kutoka jf ili waone nani watamlilia abaki
7. Wengine wanamua kujitoa eti kwa sababu wanafuatwa. unatumia id fake hujui ni ya jike au dume alafu unasema watu wanakufuata mmmhhh
KAMA MNATOKA TOKENI NA KWENDENI KABISA