Hii tabia ya watu kuja na thread "Leo ni siku ya mwisho kutumia JF"

Hahahaa i wish i could be mchawi,fasta nakufotoa picha na kuzibandika humu
 
Mimi nafunguka niliona post ya arabian queen ikiwa hivyo vp arabian queen umesepa kwel au nawew ndio kiki ya pikipiki
 
Hahahaa i wish i could be mchawi,fasta nakufotoa picha na kuzibandika humu

Hahaha wewe numby wewe

mimi sina naniliu maana wale manesi wenye vyeti vya stationey waliikata pakabaki flat
 
Cha kuchekesha zaidi kuna members wapya hawana hata mwaka humu nao wanaaga, dah!

Shemeji kumbe ushalishuhudia hilo

kuna watu wakitoka humu jf nadhani ata elimu wengine tutakosa.

Kuna nyuzi nyingine ya ajabu lakini unakuta imeonwa mara 30,000 sasa anzisha uzi wa jinsi ya kujua bidhaa feki la haula mpaka kesho unaweza ukakuta una onwa mara 63.

wenyewe tunaogopa kujulikana alafu mtu anatuchezea eti anaondoka pyeeee zake aka RIP
 
Kama mtu alipojiunga alibisha hodi kwanini leo asiage?
Mfano: mimi nilibisha hodi nikakaribishwa kiitifaki siku naondoka natakiwa kuaga.

Tusiwe negative kila siku. Wengine hata hizo kick mnazodai wanazitafuta kwa kuaga hata hazipo vichwani.
 
[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] uwaremove
 
Mimi nahisi pia wanaume tunachangia kuwakimbiza members wa kike.

Nimeona nyuzi tatu za watu waliojitangaza kuondoka kwa hiyari, moja ya member wa kiume mbili za wanawake.

Mwanamke mmoja kati ya walioaga aliwahi kuonyesha jinsi alivyofatwa pm na memba mmoja wa kiume na jamaa alifika tu na kusema "Mkuu Naomba nikut0mb3"

Baadhi tunaweza sema kua, kuondoka kisa kama hiki ni kushindwa kujidhibiti, lakini hiki kinakua ni kiambata mtu anapotafuta sababu za kumtoa jf.

Mnaofuata watu pm badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…