Waandishi wa Habari wa Tanzania mkitaka Teuzi kwa Awamu hii ya Kulazimisha ya Sita ( wakati Kikatiba bado ni ya Tano iliyo katika Muhula wake wa Pili ) hakikisheni mnatoke BBC, Azam Media, IPP Media na TSN tu pekee.
Kuna Msemaji Mmoja ( Bingwa wa Majungu ) Serikalini hakupenda Uteuzi wa Mtu na najua leo hii baada ya Kusikia aliyerithi nafasi yake Kaliwa Kichwa mazima na Rais Samia na Mzanzibari Mwanamke kupewa Nafasi yake atakuwa amefurahi mno.
Halafu mnaoteuliwa msihau Kuroga!!!!!