Hii trekta millioni 46 tu

Hii trekta millioni 46 tu

Na Mimi nilitaka kushangaa , tractor gani ya milioni 46 , hahaaa ,machine ya Volvo ununue kwa pesa hiyo , hata kwa used pale south Afrika hupati kwa bei hiyo
Nguvu ya hiyo trekta na yale mengine ni sawa tu.
 
Nitakutumia invoice niliyolipia kutoka china compare na hiyo price yenu bado kubwa sana 1 month mpk sasa limeingia kupitia bandari ya dsm
Bei ya china ipoje mkuu?, najua trekta hazina kodi , kuna port charges na wharfage?
 
Bei ya china ipoje mkuu?, najua trekta hazina kodi , kuna port charges na wharfage?
Mi nimeagiza na sasa lina week tatu limeingia kutokea china nimetumia M 28 jumla mpk kulifikisha mwanza na ni hospower 130 sasa nashangaa hilo linalouzwa hiyo bei je case, holland zitauzwa bei gani
 
Mi nimeagiza na sasa lina week tatu limeingia kutokea china nimetumia M 28 jumla mpk kulifikisha mwanza na ni hospower 130 sasa nashangaa hilo linalouzwa hiyo bei je case, holland zitauzwa bei gani
Hiyo m28 ni pamoja na jembe lake? au tractor tu?
 
Hiyo m28 ni pamoja na jembe lake? au tractor tu?
Trector bila jembe zaidi nimepewa water pump ya irrigation ambayo unaweza kuunganisha katika trector, jembe linajitegemea kama chapa samaki najichanga ninulie hapa hapa bongo
 
Trector bila jembe zaidi nimepewa water pump ya irrigation ambayo unaweza kuunganisha katika trector, jembe linajitegemea kama chapa samaki najichanga ninulie hapa hapa bongo
Hongera sana!... Nilikuwa nataka Kununua swallaj 855 FE yenye 4 wheel drive.. Shida bei imechangamka sana, wanauza m52 pamoja na jembe... Sasa hiyo bei uliyonunulia naona ni very reasonable.. mchakayo wa kuagiza ukoje? ni lazima upitie kwenye makampuni ya kuagiza magarikama befoward?
 
Back
Top Bottom