Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Wewe piga hiyo namba utaelekezwa vizuri kuhusiana na trekta hilo.Hii namba sio yako yako 95
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe piga hiyo namba utaelekezwa vizuri kuhusiana na trekta hilo.Hii namba sio yako yako 95
Nguvu ya hiyo trekta na yale mengine ni sawa tu.Na Mimi nilitaka kushangaa , tractor gani ya milioni 46 , hahaaa ,machine ya Volvo ununue kwa pesa hiyo , hata kwa used pale south Afrika hupati kwa bei hiyo
Sawa boss nitumie hiyo invoice na gharama za usafiri.Nitakutumia invoice niliyolipia kutoka china compare na hiyo price yenu bado kubwa sana 1 month mpk sasa limeingia kupitia bandari ya dsm
Lovol ni kampuni ya wapi mkuu?Hii chombo bei yake ni Millioni 46 tu.
View attachment 2418522
Kama unahitaji, jichange piga hii simu haraka 0747744895.
ChinaLovol ni kampuni ya wapi mkuu?
Siku nyingine ukileta tangazo la namna hii jitahidi uweke specifications za bidhaa yako!!Nguvu ya hiyo trekta na yale mengine ni sawa tu.
Sawa bossSiku nyingine ukileta tangazo la namna hii jitahidi uweke specifications za bidhaa yako!!
Bei ya china ipoje mkuu?, najua trekta hazina kodi , kuna port charges na wharfage?Nitakutumia invoice niliyolipia kutoka china compare na hiyo price yenu bado kubwa sana 1 month mpk sasa limeingia kupitia bandari ya dsm
yaani nguvu ya Volvo iwe sawa na huyo mchina ? hujielewiNguvu ya hiyo trekta na yale mengine ni sawa tu.
Mi nimeagiza na sasa lina week tatu limeingia kutokea china nimetumia M 28 jumla mpk kulifikisha mwanza na ni hospower 130 sasa nashangaa hilo linalouzwa hiyo bei je case, holland zitauzwa bei ganiBei ya china ipoje mkuu?, najua trekta hazina kodi , kuna port charges na wharfage?
Hiyo m28 ni pamoja na jembe lake? au tractor tu?Mi nimeagiza na sasa lina week tatu limeingia kutokea china nimetumia M 28 jumla mpk kulifikisha mwanza na ni hospower 130 sasa nashangaa hilo linalouzwa hiyo bei je case, holland zitauzwa bei gani
Trector bila jembe zaidi nimepewa water pump ya irrigation ambayo unaweza kuunganisha katika trector, jembe linajitegemea kama chapa samaki najichanga ninulie hapa hapa bongoHiyo m28 ni pamoja na jembe lake? au tractor tu?
Hongera sana!... Nilikuwa nataka Kununua swallaj 855 FE yenye 4 wheel drive.. Shida bei imechangamka sana, wanauza m52 pamoja na jembe... Sasa hiyo bei uliyonunulia naona ni very reasonable.. mchakayo wa kuagiza ukoje? ni lazima upitie kwenye makampuni ya kuagiza magarikama befoward?Trector bila jembe zaidi nimepewa water pump ya irrigation ambayo unaweza kuunganisha katika trector, jembe linajitegemea kama chapa samaki najichanga ninulie hapa hapa bongo
Kama una ekari zako kuanzia 50 bora kumilikisure ni cost effective sana kukodi kuliko kununua labda mtu uwe na kilimo kama ambacho ni kikubwa sana.