Ghost MVP
JF-Expert Member
- May 19, 2022
- 439
- 736
Mtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na kazi yake ni ngumu lazima kuna pesa ndefu ipo nyuma ya kila kitu, Hili nalo likafanyiwe kazi.
Pia soma
Pia soma
- Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM
- Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu
- Iringa: Gari yenye namba bandia ya Serikali yakamatwa ikisafirisha wahamiaji haramu