Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

Hii Trend ya kukamatwa Wahamiaji Haramu kwenye V8 kuna jambo lichunguzwe

Hawa jamaa ni moja moja south Africa na kati ya nchi wanayoichukia ni Tz kuvuka Tanzania kunawasumbua sana japo wengi wanafanikiwa hawa wanaokamatwa ni moja ya 100..
Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko

Ova
 
Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko

Ova
Sasa kuomba lazima uanze kuomba kwenye nchi yako na ubalozi wa nnchi unayoenda tatizo vigezo ndo vitawakwamisha..
 
Back
Top Bottom