Kapuku huwezi huu mchong9 wa vigogoMtu hadi anapofikia kuitwa muhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na kazi yake ni ngumu lazima kuna pesa ndefu ipo nyuma ya kila kitu, Hili nalo likafanyiwe kazi
View attachment 2958633
Ni nani?Kapuku huwezi huu mchong9 wa vigogo
We nawe kwani ulikua wapi ,hio ni biashara kama maduka ya kariakoo tu ,hapo kila kichwa kuvuka toka namanga kuelekea kusini si chini ya dola 500 sheikheMtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na kazi yake ni ngumu lazima kuna pesa ndefu ipo nyuma ya kila kitu, Hili nalo likafanyiwe kazi.
Pia soma
- Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM
- Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu
- Iringa: Gari yenye namba bandia ya Serikali yakamatwa ikisafirisha wahamiaji haramu
View attachment 2958633
Wanapelekwa wapi sasa🤔Jamaa wanayo pesa naskia ni m3 kwa kichwa kmoja..
Kwani sasa wamegeuka wauza watu😁Hiyo biashara ni ya watu wazito wazito mzee
Ova
Wee hii biashara ina hela sana mzee,pale kila kichwa anaweza akawa anatoa mln 4 ya kibongoKwani sasa wamegeuka wauza watu😁
Basi tajiri zingine zinapatikana kwa njia haramu kweli kweli😆Wee hii biashara ina hela sana mzee,pale kila kichwa anaweza akawa anatoa mln 4 ya kibongo
Boda boda akamtoa muhamiaji harMu kutoka kimange ndanindani huko mpaka chalinze analiowa 500,000
Ova
Nimesema wachunguzwe kama hawajabebeshwa madawa ya kulevya kwani wahusika ndio hao haoMtu hadi anapofikia kuitwa mmhamiaji haramu tena kwa wale wanavyoonekana hawana pesa ya kumlipa mtu awasafirishe kwa V8, Hii ni issue huenda ipo nyuma ya mtu fulani, either watu hawa wanapelekwa kufanya kazi mahala, kiwanda, shamba au chochote, coz hawa kujilipia huu usafiri mtu arisk gari na kazi yake ni ngumu lazima kuna pesa ndefu ipo nyuma ya kila kitu, Hili nalo likafanyiwe kazi.
Pia soma
- Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM
- Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu
- Iringa: Gari yenye namba bandia ya Serikali yakamatwa ikisafirisha wahamiaji haramu
View attachment 2958633
Matajiri wengi wamepata kwa njiaa haramuBasi tajiri zingine zinapatikana kwa njia haramu kweli kweli😆
Hawa jamaa ni moja moja south Africa na kati ya nchi wanayoichukia ni Tz kuvuka Tanzania kunawasumbua sana japo wengi wanafanikiwa hawa wanaokamatwa ni moja ya 100..Wanapelekwa wapi sasa🤔