mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Apr 9, 2024 #21 mongoli said: Hawa jamaa ni moja moja south Africa na kati ya nchi wanayoichukia ni Tz kuvuka Tanzania kunawasumbua sana japo wengi wanafanikiwa hawa wanaokamatwa ni moja ya 100.. Click to expand... Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko Ova
mongoli said: Hawa jamaa ni moja moja south Africa na kati ya nchi wanayoichukia ni Tz kuvuka Tanzania kunawasumbua sana japo wengi wanafanikiwa hawa wanaokamatwa ni moja ya 100.. Click to expand... Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko Ova
mongoli JF-Expert Member Joined Feb 25, 2024 Posts 734 Reaction score 1,732 Apr 9, 2024 #22 mrangi said: Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko Ova Click to expand... Sasa kuomba lazima uanze kuomba kwenye nchi yako na ubalozi wa nnchi unayoenda tatizo vigezo ndo vitawakwamisha..
mrangi said: Serikali ingewapa pasi tu wawe wanalipia waendelee na safari zao wakapambane mbele huko Ova Click to expand... Sasa kuomba lazima uanze kuomba kwenye nchi yako na ubalozi wa nnchi unayoenda tatizo vigezo ndo vitawakwamisha..
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 6, 2024 #23 Ncha Kali said: Ni siku nyingi 'vieite' imekuwa ikitumika sababu polisi wa usalama hawaipigi mkono, sasa imebuma. Click to expand... Nahisi biashara imepata boss mpya, hili onyo la mwisho.
Ncha Kali said: Ni siku nyingi 'vieite' imekuwa ikitumika sababu polisi wa usalama hawaipigi mkono, sasa imebuma. Click to expand... Nahisi biashara imepata boss mpya, hili onyo la mwisho.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Dec 6, 2024 #24 mongoli said: Jamaa wanayo pesa naskia ni m3 kwa kichwa kmoja.. Click to expand...