Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Nimpongeze Rais Samia kwa kuunda hii tume kuchunguza vyombo vytu vya dola nk.
Niombee tu mkimaliza huko tuna imani na nyie na mapendekezo yenu baada ya shuhuli tunaomba ikiwapendeza mumwombe Mh Raisi mkachungze wizara ya ardhi shida iko wapi na nini kifanyike wananchi wachwe kuporwa viwanja vyao halali.
Jambo la kushangaza sana majuzi nilikuwa nafuatilia kitu mama mmoja mzee analia kwa huzuni kiwanja chake kina hati mbili tofauti, very shame!
Nilipochunguza wanae wanasema wana mwaka wanashinda ofisi za Manispaa wanaambiwa kweli hati kuna muda manispaa walikuwa wanapima badaye watu wa ardhi wakawa wanapima.
Yaani ardhi anapima bila kushrikiana na manispaa kujua huko kukoje.
RAIS BAHATI ILE TIMU YA WAKUU PALE ARDHI WANAPIGA KAZI NA TUNAAMINI KABISA HII TUME IKIKAA N WATU WA ARDHI NA BAADAE IITISHE SIKU WANANCHI WAWE WANATOA SHIDA ZAO..
TUME HII ITASAIDIA. MENGI SANA KUJUA YANAYOENDELEA NCHI HII
DAMU YA YESU KRISTO. IKAWAFUNIKE WAKAANDIKE UKWELI HALISI WATAKAOKUTANA NAO NA NN CHA. KUFANYA KUWAPONYA WATANZANIA.
HAKIKA HAKUNA MBINGU MTAACHA KUIONA KWA BARAKA MTAKAZOMIMIINIWA KWA KUWASAIDIA WATANZANIA
MUNGU AWATANGULIE TAR 1 FEB NDIO HIOOO
HAPPYNEWMONTHS
ALL