Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
 
Tunauita ukomavu wa mashabiki na timu. Tunataka zaidi ya hapa. Na sio udhaifu bali ni kuonyesha sisi sio wa hii level. Sasa nyie endeleeni kushabikia goli moja la kuwafunga waarabu wa kijijini kwao Nabi.
 
Nyie sio wa hii level eti, jiandae kwa maumivu zaidi kama kwa mkapa unapata ushindi kwa mbinde tena dhidi ya timu iliyoko mkiani vipi ukianza kwenda kuwafata mikoani kwenye viwanja vigumu
 
Nadhani kutokana na mazoea,ingekuwa Yanga kwao ni furaha kwa vigoli vimoja na kulazimisha unbeaten
 
Nyie sio wa hii level eti, jiandae kwa maumivu zaidi kama kwa mkapa unapata ushindi kwa mbinde tena dhidi ya timu iliyoko mkiani vipi ukianza kwenda kuwafata mikoani kwenye viwanja vigumu
Mancity kapigwa na Brentford leo. Hujui mpirq ww endelea kuwa shabiki maandazi
 
Wanaumia yanga kuingia group stage, walitamani itolewe
 
Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
Yanga bhana! Sasa ule ushindi vs geita ni wa kuushangilia
 
Back
Top Bottom