Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mkuu wakifunga kuna tatizo gani?Sorry wanaume mnaofunga PM zenu, huwa mnasumbuliwa Sana na mademu ehhh......
Au mnaficha nini huko ?
Mnauza gongo?
Kuna dili kule Mbezi Beach nataka niwapeleke JumapiliMkuu wakifunga kuna tatizo gani?
Unataka kuwatongoza nao pia?
Kwani lazima?Kuna dili kule Mbezi Beach nataka niwapeleke Jumapili
Wabongo ndio kawaida yetu kupangia watu maisha ..Kwani lazima?
HahahahaWabongo ndio kawaida yetu kupangia watu maisha ..
Mimi nilifunga nimefungua, ila kipindi cha uchaguzi nafunga tenaKuna kipindi wale jamaa wasiojulikana walikuwa wanakuja kwa gia mbalimbali ikiwemo ile ya sweet pot. Hata mimi nilifunga [emoji16][emoji16][emoji16]
Watalala mbele nawewe..😜😅Mimi nilifunga nimefungua, ila kipindi cha uchaguzi nafunga tena
Hahahaha, kisa na mkasaWatalala mbele nawewe..[emoji12][emoji28]
Kisa ni mtu na mkasa ni chake 😜Hahahaha, kisa na mkasa
HahahahaKisa ni mtu na mkasa ni chake [emoji12]
Humu kuna connection za biashara sasa mtu anatoa comment ya kitu flani unakihitaji lakini jinsi ya kumnong’oneza huna.Mkuu wakifunga kuna tatizo gani?
Unataka kuwatongoza nao pia?
Ndiyo ujue hataki kunong'onezwa huyo tena.Humu kuna connection za biashara sasa mtu anatoa comment ya kitu flani unakihitaji lakini jinsi ya kumnong’oneza huna.
HahahaKwani lazima?
Kwani kila mtu anahitaji hizo connection madame !?Humu kuna connection za biashara sasa mtu anatoa comment ya kitu flani unakihitaji lakini jinsi ya kumnong’oneza huna.
Hahaha aiseeWabongo ndio kawaida yetu kupangia watu maisha ..