Hii umekaaje, mwanaume kufunga PM?

Hii umekaaje, mwanaume kufunga PM?

Kwani kila mtu anahitaji hizo connection madame !?
Brother imebidi nicheki kama umefunga PM😂😂😂..
kuwa fair na faragha za watu maana si kila mtu anaweza chat na wewe jukwaani tu
 
Sorry wanaume mnaofunga PM zenu, huwa mnasumbuliwa Sana na mademu ehhh. Au mnaficha nini huko? Mnauza gongo?
Naomba nijibu kwa nadharia yangu....but mi sijawai kufunga.

Zaman siku za Nyuma nilkua nahangaika kuwashangaa wanaume ambao mkikosana anakublock wasap???...nilikua nashangaa Sana coz nilizoea kuona wanawake ndo wanafanya hivo??
Au nilikua nawashangaa wanaume wanaosema mie, wanajibu text p badala ya powa!!

But mida iliposonga nikagundua nilikua na ufinyu wa tofauti, hulka na silka za watu....Tunajudge negative kwasababu tunatumia experience,mitazamo na tabia zetu Kama reference wakat tukisahau Kuna makuzi ,hulka,na silka tofauti....
Na kua negative ni tabia ya binadamu....so sometimes kile tunachokihisi huwa TUNAWEZA au tusiwe sahihi lakini kujihakikishia tupo sahihi n wendawazjmu....

Nikiacha mtazamo hasi au mihemuko
Sababu yaweza kua ni malengo tofauti na matarajio hasa ya kuwa na acc ya jf

Inawezekana alifungua kwaa ajili ya kusoma habar n c kuchat au kujua na watu...
Au hayuko interested kujuana na watu wa mitandaoni
Kwa mindset hyo mtu anaweza kufunga PM yake!!...

Mind you nishawai ona mtu Ana notification 100 za DM intagram na hazifungui Wala kusoma...yaan haon haja Wala curiosity
Wakat wengine ikiingia text n kuifungua hapo hapo
 
Back
Top Bottom