cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Elekeza hapa tyuuuh mbna simpleNjoo pm ni haraka tu usijali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elekeza hapa tyuuuh mbna simpleNjoo pm ni haraka tu usijali
Hahahaha, mambo ,unataka kufunga PM kisa nini?Nifundishe kufunga PM jamaniiiiiih mmmmmh lol.
Asee hutaki wageni PM ?Nifundishe kweli seriously
Aaaah najaribu kuona inakuaje lol,Hahahaha, mambo ,unataka kufunga PM kisa nini?
Wageni wa nn mmmmh wee nae looAsee hutaki wageni PM ?
Ngoja nikaangalie zile Id zangu nilizofunga PM kuona zinaendeleaje.Sorry wanaume mnaofunga PM zenu, huwa mnasumbuliwa Sana na mademu ehhh. Au mnaficha nini huko? Mnauza gongo?
Unatakiwe uwe na kadi ya chama cha majiziPm mnafunga nami naomba mnifundishe jinsi ya kufunga je? Natakiwa niwe na barua ya Mwenyekiti wa mtaa au mtendaji? Msaada tafadhali
Kwani lazima kumshirikisha huyo mtu madili na michongo ?PM ndiko Kuna madili, michongo nk
Hahahaha ,umesahau msemo wa mgeni njoo mwenyeji ....Wageni wa nn mmmmh wee nae loo
Hahahaha, sasa mm nitashindwa Ku chat na weweAaaah najaribu kuona inakuaje lol,
Na wewe nini kinakupelekea kuingia pm ya dume mwenzako hadi ukajua kaifunga.
Naanza kuingiwa shaka na wewe.
Brother imebidi nicheki kama umefunga PM😂😂😂..Kwani kila mtu anahitaji hizo connection madame !?
Mmmmmh weee daddieeeh nae looHahahaha, sasa mm nitashindwa Ku chat na wewe
Eti eeeeehHahahaha ,umesahau msemo wa mgeni njoo mwenyeji ....
Naomba nijibu kwa nadharia yangu....but mi sijawai kufunga.Sorry wanaume mnaofunga PM zenu, huwa mnasumbuliwa Sana na mademu ehhh. Au mnaficha nini huko? Mnauza gongo?
Nn tenaMmmmmh weee daddieeeh nae loo
Kusema ukweli mi nimeifunga sijawahi iacha on[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo kwako PM ni kuchat na wanawake tu mkuu
Haya bhanaaahNn tena
Poaaaaaaaah