Hii umekaaje, mwanaume kufunga PM?


Inawezekana alifungua kwaa ajili ya kusoma habar n c kuchat au kujua na watu...
Au hayuko interested kujuana na watu wa mitandaoni
Kwa mindset hyo mtu anaweza kufunga PM yake!!...

Jibu zuri
 
Kwahiyo ipo wazi nije?
Hebu usinipe hati ataki mwenziyo. Kutembelewa na mgeni wa hadhi yako mbona parefu sana? Kwanza utakaa wapi? Nitakulisha nini miye? Utaleta dhoruba moyoni mwangu afadhali tu usije [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwahiyo unanifukuza kijanja eeh?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naogopa mgeni ukiondoka utakwenda kueneza ufurushi wangu ila karibu sana. Kwangu ni kwako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Brother imebidi nicheki kama umefunga PM๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..
kuwa fair na faragha za watu maana si kila mtu anaweza chat na wewe jukwaani tu
Hahaa inatakiwa aje hapa jukwaani then anipe signal kuwa tukutane pm
 
Abeeeh auntie [emoji1787][emoji1787] hivi hao wanaume wanaofunga pm wanaogopa nini jamani tusiwatongoze au ebu niulizie
Auntie kwanza ulifichwa wapi?

Pili uache kutongoza hawa viumbe, unaona sasa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ