Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
 
Hii mitandao ya simu kuihama kwa kufuata urahisi wa kitu fulani upande wa pili ni sawa na kujichosha tu + kuingia gharama kwa kuhudumia line zaidi ya moja sababu mwisho wa siku mitandao yote Baba yao mmoja na Mama yao mmoja.

Na ndio sababu hata hizo Ofa huwa si za mwendelezo bali ni za muda tu.
 
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Wamebadili Jingaz hawa,
Hapa ni kuwahama tu
 
Ila jamani mtandao wa artel unaboa kwakweli upo very slow embu ngoja niamie voda nione huko kukoje
Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao
 
Wapumbavu sana hawa Airtel.
Nikuwahama tu,hamna namna
 
Tuhame wote labda watajirekebisha. Au ndo wanafidia faini waliyopigwa na TCRA? Hii haijakaa vizuri kabisa. Wanafanya mambo bila hata chembe ya aibu. Mtu umtoe from 500mb mpakaka 200mb for the same price?! Hili tulipigie kelele tena TCRA waliangalie. I am really angry
Eli yenu nyie Mimi wamenitoa kutoka gb 1 mpaka mb 500 nikiwasha data tu ndani ya dk 5 napata ujumbe ufutao

Bando yako ya intaneti imekwisha. Peruzi intaneti kwa Tsh 5/MB tu kwa kutumia mda wako wa maongezi Piga *149*99#, chagua 5, chagua 11. Au Nunua bando mpya
 
Huu ni upuuzi
 
Back
Top Bottom