Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Ni kweli. Nimejaribu maeneo fulani ya nje kidogo ya mji wangu Kama 20km sipati coverage
 
Unapewa Mb.200 alafu notification kifurushi kikiisha unaambiwa umetumia 90% ya mb zako 500 ?????? Faini waliopigwa juzi bilioni kadhaa mitandao ya simu inawatosha
Wawapige tena faini nyingine
 
Katika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.

Wao reliability ya vifurushi pendwa kwao haitoboi miezi miwili. Kila siku vifurushi vinapinduliwa tu left & right! Ila nashukuru mtandao niliopo mwaka wa 3 i still enjoy the same quality of service. Toka nimewahama hao matapeli sijawahi kujuta.
You are right mkuu. Nitonye huko uliko nihamie
 
Kwani si kuna simu extra mkuu, unaweza kuwa na Primary phone(Smartphone) na Secondary Phone (Kitochi). Kila simu inabeba line 2. Mitandao iko Mitano So problem solved.
Nina Simu tatu but mitandao yote inaonekana like born of the same mother
 
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Nalipa buku napata gb 1. Leo nomepata mb 500. Kuhama lazima
 
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Si bora wangepunguza kidogokifogo
 
500mb mimi hazinitoshi hata kwa siku. Shughuli nyingi nafanyia mtandaoni. Wacha nijaribu ttcl
Nasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online
 
Back
Top Bottom