Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina Simu ya 4G but still no coverage!ipo pote, ni uwezo wa kifaa chako. Huwa wanatumia huduma za minara ya mitandao mingine kama huduma haijafika maeneo
Ok. AsanteVoucher nunua kwa mtandao wowote kwenda kwa number yako.
Tafuta hela, vinginevyo Utahama sana mitandao
Mhh bado naaresearch mkuuUnaamia wapi mkuu
Wawapige tena faini nyingineUnapewa Mb.200 alafu notification kifurushi kikiisha unaambiwa umetumia 90% ya mb zako 500 ?????? Faini waliopigwa juzi bilioni kadhaa mitandao ya simu inawatosha
Bchwa lile[emoji19][emoji19]View attachment 1706944
Hawa ndio wameifikisha hii nchi huku.
Acha tu nisikujibu. Najua siyo kila mtu humu ni great thinker500mb???? huna matumizi yoyote mkuu unachosha Jf kwa nyuri uchwala wangekupa mb1 kabisa mkamalizana hukohuko.
FafanuaHahahah mtapigwa mtachakaa mwaka huu 😂😂😂!!! Mnapenda kukaza ubongo sana watanzania wacha mie niendelee kuinjoy
You are right mkuu. Nitonye huko uliko nihamieKatika moja ya sifa ya huduma bora lazima iwe Reliable. Ila hali ni tofauti kwa hii mitandao mitatu mikuu ntaiita "3 Musketeers" Voda, Tigo na Mpwa wao Halotel.
Wao reliability ya vifurushi pendwa kwao haitoboi miezi miwili. Kila siku vifurushi vinapinduliwa tu left & right! Ila nashukuru mtandao niliopo mwaka wa 3 i still enjoy the same quality of service. Toka nimewahama hao matapeli sijawahi kujuta.
Aisee hebu fanya hivyo😀Nikuunganishe na mtandao wa majini ?
Hebu nitupie PM mkuunjoo pm kwa maelekezo...Wachawi wakizidi itakuwa jau.
Nina Simu tatu but mitandao yote inaonekana like born of the same motherKwani si kuna simu extra mkuu, unaweza kuwa na Primary phone(Smartphone) na Secondary Phone (Kitochi). Kila simu inabeba line 2. Mitandao iko Mitano So problem solved.
Nalipa buku napata gb 1. Leo nomepata mb 500. Kuhama lazimaNimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Si bora wangepunguza kidogokifogoNimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Nasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online500mb mimi hazinitoshi hata kwa siku. Shughuli nyingi nafanyia mtandaoni. Wacha nijaribu ttcl
mtandao naotumia mimi hauna upumbavuNina Simu tatu but mitandao yote inaonekana like born of the same mother
wameshabadili tena, Mitandao ya kipumbavu namna hio siwezi tumiaVoda 3.5GB kwa 2000 per day!