Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao
Kama ni voda unawasingizia. Japo huwa wana huo ujinga mara mojamoja lakini mimi nafurahia huduma zao nzuri kwa bei ya juu[emoji16][emoji16] 1GB nadownload movies 2 zenye 400MB @ na bado naperuzi jf na whatsap kwa muda wa kutosha
 
IMG_3696.jpg

Hawa ndio wameifikisha hii nchi huku.
 
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
TTCL Tam Tam plus
sh 500 = mb 600 24 hrs
sh 1000 = gb 1.2 wiki
dakika na sms included
 
Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Ni kweli wamepunguza hata kwangu, Ila ile ya 150dk na 500mb kwa wiki bado ipo, kwangu ndio inayonipa jeuri kwa Airtel. Wakiitoa hii nahamia halotel
 
Airtel niliwaamini sana baada ya kuwahama tiGO.

Nilikuwa na kifurushi cha dak 280 per 30 days kwa Sh. 1000/= ila wameniondolea.

Nimehamia TTCL
 
hahahhahah dah? yaani kama dem huku anapigwa doggy style mbele analambishwa cone at the same time, yaani ni Tabutupu
 
Unapewa Mb.200 alafu notification kifurushi kikiisha unaambiwa umetumia 90% ya mb zako 500 ?????? Faini waliopigwa juzi bilioni kadhaa mitandao ya simu inawatosha
 
Niko ttcl bando tamtam 1gb kwa wiki na dakika 10 mitandao yote pia kuna kifurushi napata dakika 80 mitandao yote kwa elfu moja changamotoya ttcl customer care iko poor halafu baadhi ya website kufunguka ni tatizo ila dawa ni kuhama Airtel wateja wakipungua waanze kubembeleza tena halafu ttcl ni wakati wao wa kuongeza wateja na kuboresha huduma
 
Airtel SUPA 4G in your town!. Enjoy 4G SUPERFAST SPEED with Airtel. Get 12 GB for 7 days at just Tsh15,000. Dial *149*99# select 5 (Internet) then Weekly
 
Back
Top Bottom