Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Voda gb zao zinaisha haraka sana,kifurusi cha elfu 10 gb 10 kwa wiki uwa kinaisha ndani ya siku 3 na hapo matumizi ni ya kawaida tu,nadhani ukitumia kwa kuangalia youtube,netflix au video yoyote online gb 10 zitaisha ndani ya masaa 10Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao