Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Hii UNI OFA ya Airtel vipi?

Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao
Voda gb zao zinaisha haraka sana,kifurusi cha elfu 10 gb 10 kwa wiki uwa kinaisha ndani ya siku 3 na hapo matumizi ni ya kawaida tu,nadhani ukitumia kwa kuangalia youtube,netflix au video yoyote online gb 10 zitaisha ndani ya masaa 10
 
Nasikia halotel offer Yao mdogo ni 1GB kwa buku wiki nzima. Nataka niwajaribi Hawa jamaa. TTCL sina taarifa zao, Ila mitandao inatunyonya sana kwasisi tunayoishi kwa shuguri za online
Hio GB ukimaliza nayo siku 3 uje nikuongeze buku lingine
 
Namiliki line za mitandao zote sijaona faida ya kufanya hivyo, nitapunguza baadhi za line, kasoro zantel ndiyo sina ile line ya kizenji nitaikwapua
 
ukweli ni kwamba hapa katikati airtel wamepata wateja wengi sana, yaani tigo imesahaulika kabisa. Hata sisi wabishi tumekuja airtel lakini naona bora turudi kulekule ttcl
 
Back
Top Bottom