Unaamia wapi mkuuHata me nahama mkuu
Wamebadili Jingaz hawa,Nimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Kwa kweli Nina hadira nataka Leo nijaribu TTCL nione.Nakuja na mtandao wangu mkae mkao wa kula.
Tuhame wote labda watajirekebisha. Au ndo wanafidia faini waliyopigwa na TCRA? Hii haijakaa vizuri kabisa. Wanafanya mambo bila hata chembe ya aibu. Mtu umtoe from 500mb mpakaka 200mb for the same price?! Hili tulipigie kelele tena TCRA waliangalie. I am really angryHata me nahama mkuu
Nilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana naoIla jamani mtandao wa artel unaboa kwakweli upo very slow embu ngoja niamie voda nione huko kukoje
Tueahame wote wakome ubishi. Wanatufanya mazwazwaWamebadili Jingaz hawa,
Hapa ni kuwahama tu
Mkuu fanya haraka Mimi nitakuwa wa kwanza kujiunga. Halafu weka ofa zenye akili siyo Kama hawa mara Wana ofa sijui za kupigia watu usiku wa manane! Wanaleta mambo ya mikeshaNakuja na mtandao wangu mkae mkao wa kula.
Rudi Nyumbani, Kumenoga!
Naam! Huko ndio nyumbani!Nyumbani wapi mkuu? TTCL??
Eli yenu nyie Mimi wamenitoa kutoka gb 1 mpaka mb 500 nikiwasha data tu ndani ya dk 5 napata ujumbe ufutaoTuhame wote labda watajirekebisha. Au ndo wanafidia faini waliyopigwa na TCRA? Hii haijakaa vizuri kabisa. Wanafanya mambo bila hata chembe ya aibu. Mtu umtoe from 500mb mpakaka 200mb for the same price?! Hili tulipigie kelele tena TCRA waliangalie. I am really angry
Tatizo vocha zao hazipatikani mpaka niende mjini. Ngoja niwajaribu leoNaam! Huko ndio nyumbani!
Huu ni upuuziEli yenu nyie Mimi wamenitoa kutoka gb 1 mpaka mb 500 nikiwasha data tu ndani ya dk 5 napata ujumbe ufutao
Bando yako ya intaneti imekwisha. Peruzi intaneti kwa Tsh 5/MB tu kwa kutumia mda wako wa maongezi Piga *149*99#, chagua 5, chagua 11. Au Nunua bando mpya