Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kama ni voda unawasingizia. Japo huwa wana huo ujinga mara mojamoja lakini mimi nafurahia huduma zao nzuri kwa bei ya juu[emoji16][emoji16] 1GB nadownload movies 2 zenye 400MB @ na bado naperuzi jf na whatsap kwa muda wa kutoshaNilikuwa huko ukinunua 1Gb unaperuzi Kama webpage tatu na kutuma email mbili unaambiwa kifurushi kimeisha nikaachana nao
TTCL Tam Tam plusNimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Ni kweli wamepunguza hata kwangu, Ila ile ya 150dk na 500mb kwa wiki bado ipo, kwangu ndio inayonipa jeuri kwa Airtel. Wakiitoa hii nahamia halotelNimezoea kutumia kifurushi cha UNI OFA cha Airtel napata 500MB. Leo nimejiunga nashangaa wamebadili imekuwa 200MB! Nimeacha Tigo nikahamia huku baada ya Tigo kupunguza sana kiasi cha MB Sasa huku nako wameanza tena mambo yale yale. Wakuu mtandao gani una ofa nzuri ya bundle za internet nihamie huko?
Tatizo network coverage yao ni ndogo,unaweza kuwa mjini kuna sehemu hupati networkTTCL Tam Tam plus
sh 500 = mb 600 24 hrs
sh 1000 = gb 1.2 wiki
dakika na sms included
ipo pote, ni uwezo wa kifaa chako. Huwa wanatumia huduma za minara ya mitandao mingine kama huduma haijafika maeneoTatizo network coverage yao ni ndogo,unaweza kuwa mjini kuna sehemu hupati network
Basi narudi nyumbani,airtel kwaheriipo pote, ni uwezo wa kifaa chako. Huwa wanatumia huduma za minara ya mitandao mingine kama huduma haijafika maeneo
Voucher nunua kwa mtandao wowote kwenda kwa number yako.Tatizo vocha zao hazipatikani mpaka niende mjini. Ngoja niwajaribu leo
Ni suala la muda mkuu.Njoeni Halotel mimi nimehamia huku loyal bandle elfu kumi unapata dakika 1000, Gb 14, sms bwerere mwezi mzima nishasahau kuweka vocha natwanga tu mitandao yote